Tobechukwu
Senior Member
- Oct 15, 2018
- 112
- 418
imeishaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Avatar ni picha yako?
Mie nikajua yake nilitaka nimpe hiyo mihela alafu kulipana maelewanoIkiwa yake utampa hiyo million? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa yake utampa hiyo million? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasema hakopi kwa sababu hana dhamana, hawezi kupata kwa ndugu, hawezi kupata kwa marafiki!
Unaelewa maana yake?
Mie nikajua yake nilitaka nimpe hiyo mihela alafu kulipana maelewano
Dada yangu pole na hongera kwa kuwa na mawazo + .
Mimi ninashauri tu, hela bwna inapatikana kwa hela mwenzake.
Kama hauna 1000 huwezi kupata 500.
Ili upate hela inabidi uwe na hela ama kitu kinachoweza kulingana na hela.
Kama unatafuta milioni na mazingira ni magumu, tafuta kwanza10000 then hio ikuletee milion
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah hiyo inakuwa ngumu madam... Hapa ni mwendo wa kukulana tuuRafiki za masiku? nipe mie basi laki 2 bila maelewano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah hiyo inakuwa ngumu madam... Hapa ni mwendo wa kukulana tuu
Aisee!
Mimi mwenyewe ni milioni.
Kwanza umepona?
Jino kwa mswaki sio jino kwa jino[emoji23][emoji23]Ah hiyo inakuwa ngumu madam... Hapa ni mwendo wa kukulana tuu