Tobechukwu
Senior Member
- Oct 15, 2018
- 112
- 418
- Thread starter
-
- #101
mkuu ulifanikisha?
Mrejesho muhimu
.kila la heri mamyMrejesho ni kwamba sikupata, niliamua tu kuanza na nilichonacho kidogo elf 55,000 kufanya biashara ingine, namshkuru Mungu inaongezeka kutoka elf 55,000 mpaka laki 200,000, na hapa ni vile tu natoa na hela kidogo ya kula humo humo ingekua ni zaid ya hiyo kidogo.
.kila la heri mamy
Kama tayr una biashara taasis ziko zinakopesha uwe na lesen na TIN
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani na wewe una shida ya million moja best?Mrejesho muhimu
Hapana..labda 10mKwani na wewe una shida ya million moja best?
mama wawili