Nawezaje kupata Tsh. Milioni moja?

Nawezaje kupata Tsh. Milioni moja?

Mrejesho ni kwamba sikupata, niliamua tu kuanza na nilichonacho kidogo elf 55,000 kufanya biashara ingine, namshkuru Mungu inaongezeka kutoka elf 55,000 mpaka laki 200,000, na hapa ni vile tu natoa na hela kidogo ya kula humo humo ingekua ni zaid ya hiyo kidogo.
.kila la heri mamy
 
Back
Top Bottom