Baby Nimah
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 719
- 833
Kwa TIGO pesa inawezekana?Western Union money transfer atumie. Ama muombe mtu akaunti unayemuamini atume kwa akaunti yake,
Pia Kuna namna Fulani kwa mpesa unapokea hela. Mie Kuna mdada ameshanitumiaga Kama tumilioni kadhaa kwa simu ikaja kwa mpesa tokea USA mkuu. So fight bana upate hizo hela
Tumia Western Union.Hey guys ! I hope mko powa,mm sipo pow sana afya yangu inamgogoro kidogo God is good all the time nitakaa sawa
Nina rafiki yangu yupo UK alikuwa anataka kunitumia pesa kidogo akaniuliza una account ya bank nikamwambia sina,akaniuliza kama kuna namna nyingine ya kutuma,
Jf kuna wa somi wengi na wajuzi wa mambo naombeni msaada wenu,natanguliza shukrani karibuni
Inawezekana DadaKwa
Kwa TIGO pesa inawezekana?
Maana yy mwenyew mshamba kama mm
Si lazima swali na jibu ila kama ulivyosema ahakiki jina lake ni sahihi kwenye ID na MTCNTumia Western Union.
Hakikisha una kitambulisho kinachotambulika na unampa majina yako kama yalivyo kwenye kitambulisho. Na yeye akishatuma pesa atakutumia namba ya siri na swali na jibu.
Ok asanteHuna Mpesa ,TigoPesa ,Airtel money ? Mpe number yako ya simu mwambie atumie World remit ,utapokea kwenye simu yako
Nina TIGO na airtel Voda2 sina mkuiNaona now mobile inafanya vizuri I recommend M-PESA
Tanzania kwa uzoefu wangu naona WU imekaa vizuri
AsanteMwambie a-download app ya WorldRermit. Humo anaweza kukutumia fedha kwenye mtandao wowote wa simu hapo Tanzania.
Zote zinafanya kazi mkuu though nikasema for my experience mpesa na WU are recommendedNina TIGO na airtel Voda2 sina mkui
Akishazipata, usisahau kunijlishaWestern Union money transfer atumie. Ama muombe mtu akaunti unayemuamini atume kwa akaunti yake,
Pia Kuna namna Fulani kwa mpesa unapokea hela. Mie Kuna mdada ameshanitumiaga Kama tumilioni kadhaa kwa simu ikaja kwa mpesa tokea USA mkuu. So fight bana upate hizo hela