Nawezaje kupokea hela kutoka nje ya nchi bila kuwa na akaunti ya Benki?

Nawezaje kupokea hela kutoka nje ya nchi bila kuwa na akaunti ya Benki?

20210604_193411.jpg

Hiyo hapo World Remit. Juzi tarehe 2 nimepokea mzigo kutoka UK kama unavyoona hapo. Na bonus ya 10k nkapewa na Tigo
 
Hey guys ! I hope mko powa,mm sipo pow sana afya yangu inamgogoro kidogo God is good all the time nitakaa sawa

Nina rafiki yangu yupo UK alikuwa anataka kunitumia pesa kidogo akaniuliza una account ya bank nikamwambia sina,akaniuliza kama kuna namna nyingine ya kutuma,

Jf kuna wa somi wengi na wajuzi wa mambo naombeni msaada wenu,natanguliza shukrani karibuni

😍Nikiipata hiyo hela nitawakumbuka jamani🤗
Naomba nikusaidie atume kwangu kisha mimi nakutumia kwa Mpesa. Ila inabidi uchangie kidogo mimi nina Alipay.
 
Tuma katika kanisa langu,zikifika naziombea zinaongezeka.....haleluyaaa.
 
Hizo world limit unazoambiwa pesa zinasumbua kufika huko ndugu. Hapo mtafute mtu mwenye ALIPAY akusaidie ova.
 
Kama upo tayari mimi naweza kukusaidia kwa Alipay then nakutumia kwa Mpesa, Ila inabidi unichangie kidogo.
 
Hey guys ! I hope mko powa,mm sipo pow sana afya yangu inamgogoro kidogo God is good all the time nitakaa sawa

Nina rafiki yangu yupo UK alikuwa anataka kunitumia pesa kidogo akaniuliza una account ya bank nikamwambia sina,akaniuliza kama kuna namna nyingine ya kutuma,

Jf kuna wa somi wengi na wajuzi wa mambo naombeni msaada wenu,natanguliza shukrani karibuni

[emoji7]Nikiipata hiyo hela nitawakumbuka jamani[emoji847]
Hujui hata Western Union,hata m pesa hujui,au ndo unataka tujue una ndugu majuu
 
Ndio nimemaliza shule majuz tuu mambo ya bank bado sina
Jitahidi sasa ufungue visa ya BancABC au Mastercard ya NMb chap chap account ni fasta.. kianzio hizi zote ni Tshs. 10,000

Halafu utafute na PASSPORT umfuate ndugu yako huko.. usizubae zubae kusubiri ajira hapa
 
Kwa PayPal atumie Xoom... kwa Mpesa na Tigo! Unapata pesa yako chini ya dk mbili..
 
Pole Neema kwa kuumwa.

Wadau washasema hapo.

Western Union au World Remit.
 
Back
Top Bottom