Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Mkuu hii sio lazima no hulka ya mtu so usimfanye mtu awe na behavior ambayo haijaizoea. Ukishafanya yako usitegemee kulipwa pia fanya kwa sababu moyo wako umekutuma kufanya Ila sio kuwa unalipwa.Akishazipata, usisahau kunijlisha
Ukimsaidia kijana akasoma akapata kazi muachie Uhuru Kama anakukumbuka sawa ndivyo alivyo akikusahau pia ni sawa Mana ndo yeye.
So ulifanya Deni sio kabisa. Binafsi sipendi hii tabia yaani siipendi kabisa.
Mfano mtu hata kukuulizia njia mpaka umsalimie na huku usingemsalimia Kama haukuwa na haja ya kumuuliza njia.
I really hate this shit Mana salamu ama ahsante ni malipo or kickback after/ asking doing something.
Salamu, ahsante,sijui na Nini hakukubadilishii maisha.
Dada wewe ukipata hela piga kimya Mana wengine Yuko rigid ku volunteer haijalishi what