Nawezaje kurudiana naye?


Kweli msimamo hana
Kinachonikera zaidi ana lugha za kiuni yaani anakwazaa sana
 
Nasumbuliwa na red eyes [emoji102] yaani nlkua naona notifications tu zinaingia hata sijui za mada gani maana siwezi kusoma kabisa.. hapa naona afadhari kidogo macho yameacha kuwasha..

Kusema kweli wewe ulikosea kuua kiumbe kisichokua na hatia, kweli ulishindwa hata kuchoma vitumbua na mihogo ili upate pesa za kujikimu uje kumlea mwaneko...

Unataka kusema toka umalize chuo hukua unajishughulisha na kitu chochote kabisa? Ulkua kula kulala tu?
 
New single mother in the making...
Amini amini nakwambieni kama anakupenda kweli subiri akuoe vinginevyo utazaa na ataoa mwingine
 
acheni hiyo mambo ya replay mtaumizana na kusababisha madhara, uharibifu, majeraha mabaya na hata pengine mauaji.....🐒


Mlishindwana mwanzoni mje muwezane mweshoni...
Ni vizur kila moja aendelee na kutafuta mwenza wake kwa uelekeo wake lakini sio kurejeana 🐒


R I P laigwanani comrade ENL
 
Huruma kwako ni kuwa bado hujaonja sana utamu na uchungu wa mapenzi na ndyo udhaifu anaoutumia kwako

Mungu akusaidie usirudi kwake majuto yake yatakuwa makubwa sana
 

Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…