Nawezaje kurudiana naye?


Ni kweli nilikosea na nilishaomba toba kwasasa hilo achana nalo

Kuhusu shughuli nilikuwa sina ndio nilikuwa nimemaliza chuo nina miezi 3 home
 
Huyo ana lake jambo, si bure. Anayajua madhaifu yako ndo maana anataka akubebeshe ujauzito tena kisha akutelekeze.

Endelea kusonga mbele binti, muombe Mungu akukutanishe na mwanaume sahihi na wa kukufaa katika maisha yako.
 
Nachoona utarudi kwa kuwa unaogopa mambo ya umri. Ila vipi kuhusu mahusiano Yako ya kwanza kabla yake, huyo jamaa hayupo?
 
Huyo Jamaa Ana miaka sita ya kazi ndo aoe

Bila shaka ni soldier
Sema Nini we usikilize moyo wako
 
Safi
 
Subiri uolewe Acha kuendeshwa na Hisia, Huyo mwanajeshi possibility ya kukuoa ni ndogo Sana, Ukuhadaika na Ajira yake Basi Jua umepotezwa, Umri wako unazidi kusonga na Ukijiingiza kwenye Mahusiano nae basi jua wewe ndo Upo kwenye Hatari zaidi na Kitakachojiri ni kuachwa ubaki single mwenye kisirani kisoisha, tuliza apple [emoji519] hilo subiri ndoa basi, Ila Ukiona unahitaji Sana Mahusiano sawa, Lakini ujiandae na Matokeo ya kutelekezwa maana Hakuna guaranteed ya Kuolewa eti sababu Tu umezaa nae never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…