Nawezaje kurudiana naye?

Ukitaka kuoa au kuolewa pigen magoti fungen muombeji mwanzilishi wa taasisi ya ndoa.
Mali na urithi mtu ataipata kwa babae Lakin mke mwema atatoka kwa Bwana. Trust me. Omba utapewa. Usiishi nje ya nature aisee.
 
Mimba ndani ya week tatu tuu unaanza kuomba hela !!!! 😁😁😁😁, Ndani ya week tatu hizohizo unasubirishwa hadi ukakata tamaa ukaamua kutoa mimba, Ndani ya week tatu ndugu zako na wake washajua na washaanza vurumai 😁😁😁😁, Hizo hizo week tatu mshashauriana kutoa na kutokutoa !!!

Kmmake
 
Huyu simuwezi yaani kitu kidogo anawaambia ndugu zake… dada yake tu aliniambia kama unataka kuteseka basi zaa nae labda kama nikubali kuzaa nae ila nilee peke angu ni kama mvuta bangi
Yaani wewe una matatizo makubwa ndugu yangu, hivi unazaaje Na mtu ambae huna future nae? Hivi sisi wengine tuliopo hapa tunaokumezea mate unatuchukuliaje? Hebu njoo pm tuyajenge wacha kuhangaika mdogo wangu tustiriane.
 
Usizae nje ya ndo, full stop
 
Mmh songa mbele kama injili mkuu labda angekuja na nia ya ndoa ila tuzae tuishi pamoja!
 

Najua huwezi elewa ila ni ukweli… mimi nilianza kupata dalili za mimba wiki moja tu baada ya sex nilikuwa naharisha nasinzia napata kizunguzungu harufu ya chakula ikawa inanivuruga yaani mpk nikiwa nakula wali nawaambia wali unanuka vibaya siwezi kula

Kuna Kijana mmoja alikuja home ndio alinishtua maana aliponiona tu akiniambia wewe una mimbaa ila nilikataa maana nilikuwa najua nakaribia period ila siku hiyohiyo nilienda kununua kipimo ambapo ndio nilitimiza wiki 2 nikamwambia mwanaume siku hiyohiyo na mwanaume mwenyewe alikuwa haelewi vipimo na Mimi pia sikuwa nina uhakika maana kipimo kilionesha mistari 2 mmoja umekolea mwinginee upo kwa mbali hivyo yule kaka alimtumia dokta ndy kutupa uhakika imo

Kesho yake tukawa tunajadili tufanyaje ndio huyo kaka kuomba ushaurii kwao… so ni kipindi ambacho kila siku ni vitimbi yaani kila siku simu haziishi… na kwanini tukio lilifanyika haraka ni kutokana na ushawishi wa watu wapembeni wakisema nifanye maamuzi mapema isifike mwezi ni hatari kwa afya yangu

Kuhusu hela ni hizo wiki tulizokutana mpk kujua nina ujauzito alikuwa mgumu kutoa hela

My dear sina haja ya kudanganya hapa na nimetumia ID fake
 
Angalia asije akakutwanga risasi kwakua unamzungusha wanajeshi hua wana vihasira vya karibu sana na busara zao ziko mbali sana.
 
Kweli ulikuwa bikra.. Kabla ya siku 3 uingie hedhi na ukapata mimba...

Itakuwa mzunguko wako wa ezi ni ule wa sayari ya mars...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tayari ulikua mjuzi wa mambo yote hayo hadi vipimo lakini bikira?
 
Angalia asije akakutwanga risasi kwakua unamzungusha wanajeshi hua wana vihasira vya karibu sana na busara zao ziko mbali sana.

Ni mtu wa panic kidogo tu ameshajaa Halafu kunitishiatishia maisha ndy kitu kilichoniogopesha zaidii nikamuacha
Yaani akikasirika huwa ananitumia sms nyingi ndefu hata usiku wa manane unakuta saa 8 ya usiku kanitumia sms za kunifokeafokea hapo tu nimelala sijapokea simu yake.. atanitukana nipo na wanaume yaani ni mkorofi
 
Kweli ulikuwa bikra.. Kabla ya siku 3 uingie hedhi na ukapata mimba...

Itakuwa mzunguko wako wa ezi ni ule wa sayari ya mars...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hata mimi nilikuwa siamini kila ninae muuliza ana nataka… uzuri mimi nina application ya period track so kila ninapoingia inatunza kumbukumbu na ile calendar haidanganyi kama homon zime balance tarehe iliowekwa pale utaingia tu so kuna watu walikuwa wanakataa wanasema nimechanganya ila haikuwa hivyo… yaani mimi mpk nimeenda kwake nilijua nipo safe so sijui what happened
 
Tayari ulikua mjuzi wa mambo yote hayo hadi vipimo lakini bikira?

Mimi mpk sasa ambacho sikijui ni dawa za p2 na hata ukiniletea hapa ukaniuliza ni dawa gani sizijui juzi tu nimeingia google kuona picha yake but kuhusu hayo mengine yote nayajua kwasababu nilikuwa naviona watu wakitumia
 
Ikiwa ni kweli una elimu ya chuo kikuu na unashindwa kufanya maamuzi kwenye jambo dogo kama hili,hakika ulienda Mzumbe kusomea ujinga.
Mapenzi hayana formula ndo maana anaomba ushauri, Wenye degree wanateseka 'std 2' pia.
 
You mean Samora H, LT 1 and 4 kote ulitoka bilabila hakuna x yyt huko mmh... 🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…