Nawezaje kurudiana naye?

Wewe ndiye uliyezingua. Tena umezingua sana siyo kidogo. Hivi ni kwanini mwanaume aliyekupenda akakuvumilia mda wote mkiwa chuo bila sex ulimsaliti, ukaenda kumpatia Tunda kimasihara mwanaume uliyejuana naye wiki moja tu???
 
😂😂😂😂
 
Una Ujinga flani hivi..Jitambue
 
Achana nae uyo jamaa hana maamuzi anaendeshwa na ndugu zake
ogopa watu wa namn iyo
 
Wewe ndiye uliyezingua. Tena umezingua sana siyo kidogo. Hivi ni kwanini mwanaume aliyekupenda akakuvumilia mda wote mkiwa chuo bila sex ulimsaliti, ukaenda kumpatia Tunda kimasihara mwanaume uliyejuana naye wiki moja tu???

Hayakuwa mahusiano serious Kama mnavojua wenyewe mnapenda uchi msipopewa mnaona hampendwi so siwezi kusema alikuwa akinipenda while mawasiliano yalikuwa hafifu mnaweZa kaa hata miezi 2 hamjawasiliana
 
Word...
 
AMKA NA HII NA IBEBE YOTE; Kulea mtoto mwenyewe si kazi ndogo, narudia, hakuna kazi ngumu kama kulea mtoto mwenyewe. Mimi nashauri watu nawasikiliza kila siku, acheni kudanganyika na hizi picha za mitandaoni ambapo mtu kapost picha ya mtoto wake mitandaoni anaonyesha kama ana furaha na maisha mazuri.

Wengi ukiona kapost mtoto, jua tu katoka kulia. Najua mnawaza, "si nina kazi yangu!" Dada, mtoto halelewi na kazi, yaani ukishazaa ndiyo utagundua kwamba hata kama mshahara wako ni milioni 10 kwa mwezi, bado unahitaji mtu wa kukuambia mtoto anaendeleaje, mbona anaonekana kama anaumwa, au tumpeleke hospitalini!

Ndipo utajua kwamba, mtoto akiamka usiku analia bila sababu unahitaji hata mtu wa kumuambia, "hembu mshike kidogo nimebanwa," unaingia chooni kuny*a nusu saa ana hisi unaumwa tumbo kumbe umemuachia ambeleze mtoto na ushashikwa na usingizi huko chooni. Narudia, kuwa single mother si kazi ndogo.

Yaani hata kama una hela, mwanaume asipotoa kidogo utaumia na kuumia. Hivyo mambo ya mtu kukuambia zaa kamoja, sijui umeshakuwa mkubwa, mambo ya mwanaume kukuambia beba mimba ili iwe rahisi mimi kuja kwenu kujitambulisha, dada huo ni upuuzi. Ukishabeba mimba na kuzaa, hakuna cha kutambulishana wala nini!

Naandika hiki kitu kwa huruma nikiwa nimechoka kwani kuna binti anasoma hii post, halafu ataenda kufanya mapenzi leo bila kinga wakati anajua kabisa kwamba mzunguko wake ni kama wa Konokono, haueleweki! Leo yuko kwenye siku zake, kesho zimeisha, kesho kutwa zimerudi! Ukishabeba mimba zamani nilikuwa sina cha kumwambia zaidi ya kusema pole!

Lakini sasa hivi ukishabeba mimba ukinitafuta nina kitabu cha "JINSI YA KUACHANA NA U-SINGLE MOTHER" ukija kunambia tu kuna mwanaume nina mimba yake hataki kunihudumia, nakuambia nunua kitabu. Dada, si kazi rahisi kulea, tumieni kinga, hao watu hawaoi!
 
Huyu simuwezi yaani kitu kidogo anawaambia ndugu zake… dada yake tu aliniambia kama unataka kuteseka basi zaa nae labda kama nikubali kuzaa nae ila nilee peke angu ni kama mvuta bangi
Sasa mpaka ndugu zake wamekueleza hilo, unahitaji nini tena kusikia kuhusu huyo jamaa?

Ukirudia kula matapishi shauri yako.
 
Huyo kaka hakupendi ila kagundua huna msimamo,hamna kazi ambayo hawaruhusu kuoa zamani ilikuwa jeshi

lkn saizi wanaruhusu,labda km umeamua kuwa single mother ila km kweli anakupenda mwambie akuoe kwanza
 
Ukiweka condition akuoe ndo mzae, sahau kupata mtoto. Mtansubiri sana lakini hatakuja, mkihurumiwa sana atakuja kwa kuchelewa sana . Kumbuka wote hamkuwa mnamtaka huyo mtoto ndo maana ya toa, usitoe. Tumbo la uzazi linatunza kumbukumbu. Wewe sasa hivi ukizaa ni kwa kupitia kwa mtu tofauti ambaye hakuwa kwwnyw hiyo kadhia ya kutoa mimba ila huyo wa sasa naye yumo. Mkifunga ndoa ndo kabisa mtoto hatakuja. Cha msingi anza mwanzo mpya na mwanaume kutoka kwa Bwana asiye na historia yako utapata mtoto. Ukimrudia huyo kwa hizo condition utanikumbuka sana
 
😂😂😂💦
 
Akili bado huna kabisa ..
Kubali mimba uone mziki wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…