Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Ni kweli mkuu lakini hii app,nilishailipia nilipokua natumia android ambapo email niliyoitumia kwa android ni same na hii niliyoitumia AppStore,sasa kwanini wakate na huku wakati developer anasema email ambayo ilishawahi kununua haitahitaji kulipia tena app hiyo? Ishu yangu ipo hivyoSidhani kama watarudisha maana yaonesha iyo apps uliyataka kupakua ni lazima ilipiwe
Hukusoma Terms & condition kujua kama wanarefund pesa baada
Sijasoma ,mimi ni mpya kabisa kwenye ulimwengu wa iPhoneHukusoma Terms & condition kujua kama wanarefund pesa baada ya mda gani??
Sijasoma ,mimi ni mpya kabisa kwenye ulimwengu wa iPhone
Pia check post no#4
Ni kweli mkuu lakini hii app,nilishailipia nilipokua natumia android ambapo email niliyoitumia kwa android ni same na hii niliyoitumia AppStore,sasa kwanini wakate na huku wakati developer anasema email ambayo ilishawahi kununua haitahitaji kulipia tena app hiyo? Ishu yangu ipo hivyo