Ndiyo maana nimekuja wataalamu mnijulisheNipe kwanza maana ya internet
Au na nyie mnaniuliza mimi tena nisiye jua chochote?Nipe kwanza maana ya internet
Hivi unaweza kufanyaje iliuweze kuwa local internet ya kutengeneza mwenyewe locally? Ni vitu gani muhimu vinahitajika ili kuweza kuunda just local internet? Wataalamu nisaidieni katika hili
Hivi unaweza kufanyaje iliuweze kuwa local internet ya kutengeneza mwenyewe locally? Ni vitu gani muhimu vinahitajika ili kuweza kuunda just local internet? Wataalamu nisaidieni katika hili
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Yaani nitumie maarifa gani au vifaa gani simu yangu iweze kuoperate bila kuweka bundle? Sijui nimeeleweka?Umemaanisha nini uliposema kutengeneza "Local internet"?
An internet just for your home?
Yaani kwa mfano wewe ni mtaalamu umepelekwa vijijini ambako hakuna anaye jua kitu chochote kinacho itwa mawasiliano halafu wewe umepewa semina unaanza kuwauliza wao waanze kukuambia maana ya internetFirst of all lazima uelewe internet ni nini?
Ukishapata meaning utajua pa kuanzia
Ndio maana nimemuuliza internet ni nini?First of all lazima uelewe internet ni nini?
Ukishapata meaning utajua pa kuanzia
Yaani nitumie maarifa gani au vifaa gani simu yangu iweze kuoperate bila kuweka bundle? Sijui nimeeleweka?
Mpe VPNMbona kama hili ni swali jingine tofauti na ulilouliza kwenye uzi wako?
Kwa jinsi ya kawaida simu ku-operate pasipo kuwa na bundle inawezekana kama umeunganishwa na wifi internet...
Pasipokuwa na wifi, basi italazimu simu ipate internet kupitia 2G, 3G, 4G au 5G na hii ina maana inabidi uwe na line ya simu ama iwe na pesa au iwe na bundle...
Hizo ndio njia halali, kinyume cha hapo labda utumie njia haramu...
At least hili ni jibu.Sasa mimi sijalishi ni haramu au halali nataka ni namna gani naweza fanikiwa kuoperate simu bila kuweka bundleMbona kama hili ni swali jingine tofauti na ulilouliza kwenye uzi wako?
Kwa jinsi ya kawaida simu ku-operate pasipo kuwa na bundle inawezekana kama umeunganishwa na wifi internet...
Pasipokuwa na wifi, basi italazimu simu ipate internet kupitia 2G, 3G, 4G au 5G na hii ina maana inabidi uwe na line ya simu ama iwe na pesa au iwe na bundle...
Hizo ndio njia halali, kinyume cha hapo labda utumie njia haramu...
Sasa wenye mitandao yao si wanaona hapaAt least hili ni jibu.Sasa mimi sijalishi ni haramu au halali nataka ni namna gani naweza fanikiwa kuoperate simu bila kuweka bundle
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Anataka LAN yake iunge kwenye WWW Ila asifanye malipo yoyote kwa service provider.Wewe unataka kutengeneza Local Arena Network(LAN) au Wireless Local Area Network (WLAN). Ila kwa maelezo yako nadhani umeilenga WLAN.
Wao ndio walioleta hilo swali kwa hiyo nina haki zote waniambie maana ya hicho walichokileta ili niwafundishe au niwaambie kwamba hakiwezekani kwa sababhu moja mbili tatu.Yaani kwa mfano wewe ni mtaalamu umepelekwa vijijini ambako hakuna anaye jua kitu chochote kinacho itwa mawasiliano halafu wewe umepewa semina unaanza kuwauliza wao waanze kukuambia maana ya internet
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Ingia kwenye ntandao tafuta ujisomee kuhusu (LAN) Local Area Network na WAN.Hivi unaweza kufanyaje iliuweze kuwa local internet ya kutengeneza mwenyewe locally? Ni vitu gani muhimu vinahitajika ili kuweza kuunda just local internet? Wataalamu nisaidieni katika hili
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app