Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Tengeneza satelite uirushe itakuwa inarudidha interned duniani kwenye station ya kupokekea the uilete kwenye vifaa vyako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
is pretty simple to do, just navigate to the network settings on your PC/Mac/laptop and choose the option to set up a new connection or network. Connecting additional computers to your LAN is simple – just plug one end of an ethernet cable into the computer and the other end into your router or network switch......au sio vipi bwana.Hivi unaweza kufanyaje iliuweze kuwa local internet ya kutengeneza mwenyewe locally? Ni vitu gani muhimu vinahitajika ili kuweza kuunda just local internet? Wataalamu nisaidieni katika hili
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Nunua kajenereta ka internet! 😅SIMPLE!Yaani nitumie maarifa gani au vifaa gani simu yangu iweze kuoperate bila kuweka bundle? Sijui nimeeleweka?
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Tengeneza Satelite Hv Vitu Bila Satelite Hautoboi,hakuna Mtu Aliyewah Tengeneza Locally.Ukienda Youtube Utaona Wanatengeneza Kwa Kutumia Sumaku Ila Jarbu Ww Kama Itakubal.Tafuta Tunnel Inayofanya Kazi Usahau Kuweka Bundle Ila Kuipata Sidhan,otherwise Angalia Vunerability Kwenye Mitandao Ya SimuYaani nitumie maarifa gani au vifaa gani simu yangu iweze kuoperate bila kuweka bundle? Sijui nimeeleweka?
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa nadhani unahitaji huduma ya bure ya mtandao ( free internet services), ambayo unaiita Local Internet.... kwamba Internet ni nini ni mkusanyiko wa mitandao ya kompyuta inayounganisha maelfu ya kompyuta duniani kote, ikiwa ni pamoja na ile iliyo kwenye eneo-kazi lako. Mtandao ni chanzo kikubwa cha habari ambacho kinabadilika kila mara na kupanuka. Tangu kuundwa kwake katika miaka ya 1960, imekua kwa kasi na sasa inatumiwa na mamilioni ya watu, kutoka kwa taasisi za biashara na elimu hadi watumiaji binafsi.Yaani nitumie maarifa gani au vifaa gani simu yangu iweze kuoperate bila kuweka bundle? Sijui nimeeleweka?
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
... asikutishe, yaani mimi ni mashahidi yako kabisa, ... mleta mada kaja na swali lake akitegemea apewe vingira na jinsi ya KUTENGENEZA INTERNET!Wala, ishu sio alieuliza ishu hao wanaojibu.. majibu yao yanafurahisha nimeyapenda.
Mkuu inategemea unataka kusupply vipi hio internet yako.Hivi unaweza kufanyaje iliuweze kuwa local internet ya kutengeneza mwenyewe locally? Ni vitu gani muhimu vinahitajika ili kuweza kuunda just local internet? Wataalamu nisaidieni katika hili
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
AINapenda kuanza kwa kusema kuwa kutengeneza na kuuza huduma ya internet binafsi inaweza kuhitaji maarifa ya kiufundi na idhini kutoka mamlaka husika. Hapa kuna hatua kadhaa unazoweza kuchukua:
Unda miundombinu ya mtandao: Unahitaji kuwa na miundombinu ya mtandao inayoweza kutoa huduma ya internet kwa wateja wako. Hii inaweza kujumuisha kusimika vifaa kama minara ya mawasiliano au kutumia miundombinu iliyopo.
Pata leseni na idhini: Katika nchi nyingi, unahitaji leseni na idhini kutoka mamlaka ya mawasiliano au mamlaka inayohusika na teknolojia ya habari. Hakikisha unafuata sheria za nchi yako.
Chagua mfumo wa biashara: Fikiria jinsi utakavyotoza wateja wako, ikiwa ni pamoja na bei na mifumo ya malipo.
Weka usalama na utendaji: Hakikisha mtandao wako ni salama na unatoa huduma bora kwa wateja. Hii ni pamoja na kusimamia usalama wa data na kuhakikisha upatikanaji wa huduma kwa wateja.
Fanya masoko: Fikiria jinsi utakavyotangaza huduma yako kwa wateja watarajiwa. Unaweza kufanya masoko kupitia matangazo ya mtandaoni, mikutano ya kijamii, au njia nyingine za kufikia wateja.
Tathmini gharama na mapato: Hakikisha unaelewa gharama zote za uendeshaji wa biashara yako, pamoja na uwekezaji wa awali, na jinsi utakavyolipa bili zako na kupata faida.
Toa huduma bora kwa wateja: Kutoa huduma bora na kujenga uhusiano wa kudumu na wateja wako ni muhimu kwa mafanikio ya biashara yako.
Kumbuka kuwa kuanzisha biashara ya huduma ya internet binafsi inaweza kuwa ngumu na inahitaji uwekezaji mkubwa wa wakati na rasilimali. Pia, sheria na kanuni zinaweza kutofautiana kutoka nchi hadi nchi, kwa hivyo ni muhimu kushauriana na wataalamu na mamlaka za ndani kabla ya kuanza biashara
International networkNdio maana nimemuuliza internet ni nini?
Shida umfanya mtu awe mbunifu.. afikirie Nje ya Box
Tukipata vijana 1000 wenye mawazo Kama haya wakawezeshwa kama.taifa tutafika mbali.. sio kwamba hawapo? Wapo Nani wa kuwashika mkono?
Kutengeneza radio yako ambayo ww utakuwa unarusha matangazo ni kitu kidogo sana ambacho alikuwa anafanya jamaa yangu ambae aliacha shule darasa la 5, isipokuwa redio haiyendi mbali yaani kama mita 100 tu ,Ukiweza kutengeneza freequency za radio watu wakawa wanasikia unachotaka wewe wasikie utakuwa hatu 2 mbele kufikia kutumia internet Yako ya bure kama unavyotaka...!
Ila jambo Hilo kama Kuna mtu analiweza basi analifanya Kwa Siri sana. Unajua sisi ni wapangaji na mmiliki halali wa Kila kitu ni serikali. Hivyo ukiweza kulifanya Hilo swala jua umeinunua vita kati Yako na serikali.
Kwa kuanzia lazima usome IT...Kisha ICT...ndio utaelewa kwanini Kuna minala ya simu au antenna. Mchakato wake sio wa kitoto japo wapo wezi wanaotumia cheating kwenye hizi laini tunazo tumia...