Nawezaje kutengeneza Internet?

Nawezaje kutengeneza Internet?

Mkuu hii inawezekana kabisa,kwanza kabisa jifunze kufunga madishi ya TV hapa upate uzoefu wa satelite
Hi kitu niliwai waza kipi kinashindikana kugeuza mawimbi ya dish za satellite kuwa internet maana nilisikia hii project ishawai fanyiwa majaribio UDOM
 
Kutengeneza radio yako ambayo ww utakuwa unarusha matangazo ni kitu kidogo sana ambacho alikuwa anafanya jamaa yangu ambae aliacha shule darasa la 5, isipokuwa redio haiyendi mbali yaani kama mita 100 tu ,
Huyo anaweza akafanya...lakini mtu hata hiyo michezo ya kurushia mawimbi ya redio haijui... internet ataiwezea wapi...🤣🤣🤣
 
Hivi unaweza kufanyaje iliuweze kuwa local internet ya kutengeneza mwenyewe locally? Ni vitu gani muhimu vinahitajika ili kuweza kuunda just local internet? Wataalamu nisaidieni katika hili

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni network, unaweza tumia wi fi, bluetooth au nyaya

Ukishasema internet hiyo ni kubwa haipo loko tena
 
Back
Top Bottom