Nawezaje kutengeneza Internet?

Tengeneza satelite uirushe itakuwa inarudidha interned duniani kwenye station ya kupokekea the uilete kwenye vifaa vyako
 
Hivi unaweza kufanyaje iliuweze kuwa local internet ya kutengeneza mwenyewe locally? Ni vitu gani muhimu vinahitajika ili kuweza kuunda just local internet? Wataalamu nisaidieni katika hili

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
is pretty simple to do, just navigate to the network settings on your PC/Mac/laptop and choose the option to set up a new connection or network. Connecting additional computers to your LAN is simple – just plug one end of an ethernet cable into the computer and the other end into your router or network switch......au sio vipi bwana.
Na kwenye simu unaweza fanya hivyo hivyo....
 
Yaani nitumie maarifa gani au vifaa gani simu yangu iweze kuoperate bila kuweka bundle? Sijui nimeeleweka?

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Tengeneza Satelite Hv Vitu Bila Satelite Hautoboi,hakuna Mtu Aliyewah Tengeneza Locally.Ukienda Youtube Utaona Wanatengeneza Kwa Kutumia Sumaku Ila Jarbu Ww Kama Itakubal.Tafuta Tunnel Inayofanya Kazi Usahau Kuweka Bundle Ila Kuipata Sidhan,otherwise Angalia Vunerability Kwenye Mitandao Ya Simu
 
Yaani nitumie maarifa gani au vifaa gani simu yangu iweze kuoperate bila kuweka bundle? Sijui nimeeleweka?

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa nadhani unahitaji huduma ya bure ya mtandao ( free internet services), ambayo unaiita Local Internet.... kwamba Internet ni nini ni mkusanyiko wa mitandao ya kompyuta inayounganisha maelfu ya kompyuta duniani kote, ikiwa ni pamoja na ile iliyo kwenye eneo-kazi lako. Mtandao ni chanzo kikubwa cha habari ambacho kinabadilika kila mara na kupanuka. Tangu kuundwa kwake katika miaka ya 1960, imekua kwa kasi na sasa inatumiwa na mamilioni ya watu, kutoka kwa taasisi za biashara na elimu hadi watumiaji binafsi.
 
Hivi unaweza kufanyaje iliuweze kuwa local internet ya kutengeneza mwenyewe locally? Ni vitu gani muhimu vinahitajika ili kuweza kuunda just local internet? Wataalamu nisaidieni katika hili

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu inategemea unataka kusupply vipi hio internet yako.

1. Wired itabidi utumie waya kufikia wahusika, siku hizi wengi wanatumia Fiber, unaweza ukatafuta provider kama TTCL ukanunua Bandwidth ukasuply sehemu yako

2. Ukatumia wireless inaweza kuwa wifi, ama mobile data kama kina voda, ukafunga minara yako, hii pia utahitaji mtu wa jumla akuuzie kama TTCL.
 
AI
 
Shida umfanya mtu awe mbunifu.. afikirie Nje ya Box

Tukipata vijana 1000 wenye mawazo Kama haya wakawezeshwa kama.taifa tutafika mbali.. sio kwamba hawapo? Wapo Nani wa kuwashika mkono?
 
Shida umfanya mtu awe mbunifu.. afikirie Nje ya Box

Tukipata vijana 1000 wenye mawazo Kama haya wakawezeshwa kama.taifa tutafika mbali.. sio kwamba hawapo? Wapo Nani wa kuwashika mkono?

“Wakawezeshwa kama taifa”. Problem hiyo support haipo, ni startup ngapi zinaanza lakini zinaishia chin kisa gov inaona upotev wa muda?
 
Ukiweza kutengeneza freequency za radio watu wakawa wanasikia unachotaka wewe wasikie utakuwa hatu 2 mbele kufikia kutumia internet Yako ya bure kama unavyotaka...!

Ila jambo Hilo kama Kuna mtu analiweza basi analifanya Kwa Siri sana. Unajua sisi ni wapangaji na mmiliki halali wa Kila kitu ni serikali. Hivyo ukiweza kulifanya Hilo swala jua umeinunua vita kati Yako na serikali.

Kwa kuanzia lazima usome IT...Kisha ICT...ndio utaelewa kwanini Kuna minala ya simu au antenna. Mchakato wake sio wa kitoto japo wapo wezi wanaotumia cheating kwenye hizi laini tunazo tumia...​
 
Kutengeneza radio yako ambayo ww utakuwa unarusha matangazo ni kitu kidogo sana ambacho alikuwa anafanya jamaa yangu ambae aliacha shule darasa la 5, isipokuwa redio haiyendi mbali yaani kama mita 100 tu ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…