mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
Hi kitu niliwai waza kipi kinashindikana kugeuza mawimbi ya dish za satellite kuwa internet maana nilisikia hii project ishawai fanyiwa majaribio UDOMMkuu hii inawezekana kabisa,kwanza kabisa jifunze kufunga madishi ya TV hapa upate uzoefu wa satelite
Huyo anaweza akafanya...lakini mtu hata hiyo michezo ya kurushia mawimbi ya redio haijui... internet ataiwezea wapi...🤣🤣🤣Kutengeneza radio yako ambayo ww utakuwa unarusha matangazo ni kitu kidogo sana ambacho alikuwa anafanya jamaa yangu ambae aliacha shule darasa la 5, isipokuwa redio haiyendi mbali yaani kama mita 100 tu ,
Huenda anataka hizo njia haramkinyume cha hapo labda utumie njia haramu...
Hiyo ni network, unaweza tumia wi fi, bluetooth au nyayaHivi unaweza kufanyaje iliuweze kuwa local internet ya kutengeneza mwenyewe locally? Ni vitu gani muhimu vinahitajika ili kuweza kuunda just local internet? Wataalamu nisaidieni katika hili
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app