fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Kidude kidogo km battery ya remoteWatu wa jf mnachekesha sana
Na wewe upo makini na unafuatilia kwa umakini kabisa.Tunamaliza week na vibamia
Mwingine kule anamiliki inch 2.3
DJ walete
Hayo ni maumbile ambayo huwezi kuyabadili hata iweje. Ni kama vile wengine huzaliwa warefu na wengine huzaliwa wafupi.
Pia huendana na genetics...kuna jamii fulani wamebarikiwa maumbile marefu , wenginewamebarikiwa mafupi, wengine manene na wengine membamba.
Kikubwa jikubali na endelea kupiga mzigo pia uache kujamiiana na wanawake malaya na micharuko kwasababu wao wameshakutana na wanaume wa kila sampuli. Wanaweza kukuaibisha na kutangaza mambo yao ya chumbani muda wowote.
Yesssir!Na wewe upo makini na unafuatilia kwa umakini kabisa.
DJ wekaaaa.
Mwambie atembelee ofisi za BFSUMA zipo nchi nzima atapata suluhisho la tatizo lakeKuna kijana umri ni 35, anajiweza ana kazi nzuri tuna unasaba nae, leo kaniambia kuwa ana uume mdogo, kiasi anapata hofu kujamiiana na mwanamke.
Sasa kaniomba ushauri kama kuna dokta ambae anaweza kumdaidia ili uume uwe mrefu,sasa mie sina kabisa uulewa juu ya mambo haya, kama kuna mtu ana ujuzi wa mambo haya, basi aniarifu
Sawa madamYesssir!