Nawezaje kutibu shida ya kibamia

Nawezaje kutibu shida ya kibamia

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,617
Reaction score
8,244
Kuna kijana umri ni 35, anajiweza ana kazi nzuri tuna unasaba nae, leo kaniambia kuwa ana uume mdogo, kiasi anapata hofu kujamiiana na mwanamke.

Sasa kaniomba ushauri kama kuna dokta ambae anaweza kumsaidia ili uume uwe mrefu,sasa mie sina kabisa uulewa juu ya mambo haya, kama kuna mtu ana ujuzi wa mambo haya, basi aniarifu
 
Hayo ni maumbile ambayo huwezi kuyabadili hata iweje. Ni kama vile wengine huzaliwa warefu na wengine huzaliwa wafupi.

Pia huendana na genetics...kuna jamii fulani wamebarikiwa maumbile marefu , wenginewamebarikiwa mafupi, wengine manene na wengine membamba.

Kikubwa jikubali na endelea kupiga mzigo pia uache kujamiiana na wanawake malaya na micharuko kwasababu wao wameshakutana na wanaume wa kila sampuli. Wanaweza kukuaibisha na kutangaza mambo yao ya chumbani muda wowote.
 
Ndugu unaishi Duni gani?
Upo nyumba sana.
 
Yawezekana akawa hana Kibahundred,sema ni kwamba anachukua majitu yenye mavinu mabwaku yaliyozoea kutwangiwa Makande!
 
Kuna kijana umri ni 35, anajiweza ana kazi nzuri tuna unasaba nae, leo kaniambia kuwa ana uume mdogo, kiasi anapata hofu kujamiiana na mwanamke.

Sasa kaniomba ushauri kama kuna dokta ambae anaweza kumdaidia ili uume uwe mrefu,sasa mie sina kabisa uulewa juu ya mambo haya, kama kuna mtu ana ujuzi wa mambo haya, basi aniarifu
Mwambie atembelee ofisi za BFSUMA zipo nchi nzima atapata suluhisho la tatizo lake
 
Back
Top Bottom