fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Kuna kijana umri ni 35, anajiweza ana kazi nzuri tuna unasaba nae, leo kaniambia kuwa ana uume mdogo, kiasi anapata hofu kujamiiana na mwanamke.
Sasa kaniomba ushauri kama kuna dokta ambae anaweza kumsaidia ili uume uwe mrefu,sasa mie sina kabisa uulewa juu ya mambo haya, kama kuna mtu ana ujuzi wa mambo haya, basi aniarifu