Nawezaje kutibu shida ya kibamia

Nawezaje kutibu shida ya kibamia

Hayo ni maumbile ambayo huwezi kuyabadili hata iweje. Ni kama vile wengine huzaliwa warefu na wengine huzaliwa wafupi.

Pia huendana na genetics...kuna jamii fulani wamebarikiwa maumbile marefu , wenginewamebarikiwa mafupi, wengine manene na wengine membamba.

Kikubwa jikubali na endelea kupiga mzigo pia uache kujamiiana na wanawake malaya na micharuko kwasababu wao wameshakutana na wanaume wa kila sampuli. Wanaweza kukuaibisha na kutangaza mambo yao ya chumbani muda wowote.
bro sio mie,am 60 yrs mie hata ningekuwa na kibamia kwa umri huu nisingekuja kutafuta dawa maana muda wangu umeisha
 
huyu ni mtu mwenye kipato cha kutosha kabisa
Nimekuuliza umewahi kukirefusha kidole chako cha Mwisho kikizidi kidole cha kati umeona kilivyokua? Sasa ndio inavyokua kwa mtu anaekuza maumbile yake ya Zakaria
 
Ukubwa wa uume hauna uhusiano wa moja kwa moja na uwezo wa kujamiiana au kutoa furaha kwa mwenzi wako. Hata hivyo, kama kijana huyo ana wasiwasi kuhusu ukubwa wa uume wake, napendekeza afuate njia zifuatazo:

Elimu na ufahamu: Ukubwa wa uume unatofautiana kati ya mtu na mtu na hakuna ukubwa sahihi au wa kawaida. Kuelewa na kukubali mwili wako ni hatua muhimu katika kuwa na ujasiri katika uhusiano wa kimapenzi.

Mazungumzo na mwenzi: Ni muhimu kuzungumza na mwenzi wako kuhusu wasiwasi huo. Mawasiliano na uwazi kuhusu hisia na mahitaji yako yanaweza kusaidia kujenga uelewa na ushirikiano katika uhusiano.

Ujuzi wa kujamiiana: Kujifunza mbinu zinazosaidia kuleta furaha kwa mwenzi wako ni muhimu kuliko ukubwa wa uume. Wekeza katika kujifunza na kuboresha ujuzi wako wa kujamiiana na stadi za kimapenzi ili kuleta furaha na kuridhika kwa wote.

Usaidizi wa kitaalam: Kama una wasiwasi kwamba ukubwa wa uume unaathiri kujiamini na ustawi wako wa kihisia, jaribu kutafuta ushauri wa kitaalam kutoka kwa mtaalamu wa afya, kama daktari au mshauri wa saikolojia. Wataalamu hawa wanaweza kutoa ufahamu zaidi, ushauri, na msaada unaohitajika.
 
Back
Top Bottom