Nawezaje kuwa na furaha na amani ya roho?

Pole sana mkuu, hii hali ni kiashirio cha kukata tamaa, mara nyingi hupitia hali hii watu wenye mipango mingi ambayo imeshindwa kutimia kwa wakati, huko nyuma nimewahi pitia hali hii

Ushauri wangu zidisha sana ukaribu na mola wako hasa nyakati za usiku ili Mungu akufanyie wepesi katika mipango yako.
 
Mkuu...Hii Hali yako Ni mbaya..jaribu kuonana na wanasaikolojia..au wataalamu wa magonjwa ya Akili...utapewa solution

Sijawaza kufa Wala kujiua...Ila usidhani MATATIZO ya Akili..lazima uokote makopo yaapo mengi sana
 
Bila Shaka Leo Umepata Furaha
Rashid Kaongea Mjengoni πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜…
 
Nyie mnaotuchanganyia viingereza humu mnatuchanganya!! Kwani hamjui Kiswahili? Sisi wengine tunajua vishazi na virai tu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Hata upitie magumu gani usiache kunywa bia
 
Hahah Pole sana Don Juan . Mimi itabidi unizoee tu nina sababu zangu.
Ikibidi nitakua nakutafsiria.
 
Mkuu mi napenda zilizotafsiriwa hahhhh zinaondoa stress 60% yaan haswa ukiicheki boyka undisputed iliotasfriwa hutojuta na dj mack.
 
Samehe waliokukosea, MTU alikukaripia au kukukandamiza usipambane omba msamaha, epuka kuwajibu watu vibaya mitandaoni kwa ukali au hasira na visasi..(maana wanasema watu wanaojibu vibaya wenzao aidha kwa kurudisha mapigo au visasi, huwa wanakumbwa na maumivu ya ndani kuliko waliojibiwa).


Ila muhimu jitahid kutoa zawadi kwa waliokuuudhi tu.mfano hata kuwapost status, kujib reply zao...nkuambie tu kunasehem ktk maisha yako yamekuaminisha kuwa hauko vzr,au hivi au vile na umeamini....
 
Nichek inbobo!
 
Japo umekataa sio mapenzi,
Ila Unahitaji mpenzi wa kweli, umkabidhi moyo wako, Nadhani utasahau shida zote.
Kwa kukadiria tu mkuu Upo single, kama una mtu basi pasua kichwa.
[emoji3][emoji3][emoji3]...aiseee
 
Eeeh...Mkuu sijakata kamaaa KABISA..NEVER loose hope in the mercy of Allah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…