Pole sana mkuu, hii hali ni kiashirio cha kukata tamaa, mara nyingi hupitia hali hii watu wenye mipango mingi ambayo imeshindwa kutimia kwa wakati, huko nyuma nimewahi pitia hali hiiNimekuwa myonge na nafsi Yangu inasononeko.
Sikosi chakula walapakulala...Ila nakosa furaha moyoni, naona uzito rohoni mwangu, nakosa furaha kabisa.
Naona mambo Yangu nashindwa yabeba.
Najitahidi kusali na kukumbuka maandiko ya Mungu, napata afueni kwa muda.
Japo najipa moyo kuwa kwenye uzito Kuna wepesi...Naamini nothing last forever not even our troubles.
Kuna muda nikitembea barabarani nikiona Watu wanacheka nahisi wananicheka Mimi.
Huu Uzi hauhusu mahusiano ya kimapenzi kabisa.
Sinywi pombe,sivuti Bangi Wala sigara.
Nifanyaje kupunguza Hali ya sononeko moyoni mwangu.
Ushauri wangu zidisha sana ukaribu na mola wako hasa nyakati za usiku ili Mungu akufanyie wepesi katika mipango yako.