Nawezaje kuwa na furaha na amani ya roho?

Sasa nikikutajia Mimi Napo ishi..utaona Hapo airport.karibu...Vipi huendagi mipango kutafuta pisikali...au HUNA HELA ...pumbu TU [emoji23][emoji23][emoji23]
Haa πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€
Pisi Kali Mimi Naanzia Hapa Mkuu Alipowaambia Kunambi Na EX DC Wa Dodoma Waoe
Naanzia CBE Ndiyo Napata Connection
Mipango Nakwenda Kuchungulia Jirani Na Kule Kwenye Nyumba Ya Kupanga Za Kishimba πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜πŸ™„πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£



Airport Mpya Unakotaka Kujengwa Nako Kuna Pisi Kali
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€©πŸ˜˜πŸ˜‚
 
Haya mkuu... Atafutae akosi
 
Kwamba labda alikuwa mfuasi wa chadema.hahahahaaaa
 
Acha kutumia muda mwingi pekee yako kama kujificha kwenye mitandao ya kijamii huku ukidhani umejichanganya na watu.

Pia usipende kujilinganisha maisha yako na mwingine. Mfano sababu mtu fulani alipata mume kwenye umri fulani basi na wewe unahisi mambo yatakuwa hivyo hivyo.

Weka malengo yako mwenyewe kupitia hayo pambana kufanikisha bila kuangalia watu wengine.

Take it easy kwanini ukose amani wakati tunaishi mara moja.

Kuna watu wanatamani hali uliyonayo furahia na shukuru ulichonacho maana wengine wanakitafuta ila hadi leo hawajapata.
 
Unasumbuliwa na depression, msongo wa mawazo

Kuwa muislam,ataepukana na Watu waongo kama kina ngwajima

Kusali mara tano kwa siku itakuweka huru,itaondoa fikra mbovu ulizokuwa nazo
 
Jenga akili yako katika yafuatayo.

1: Sisi binaadam ni vipande vidogo sana katika stori kubwa ya maisha ya ulimwengu.

2: Hakuna jambo lolote lile liwe la ajabu kiasi gani wa zuri kiasi gani litaushtua moyo wako.. utashangaa kwa kiasi, Kuumia kwa kiasi na kufurahia kwa kiasi

3: kila siku ni mpya.. na inakuja na furaha mpya na matatizo mapya. Jana ikienda na iende na yake... Ukiamua asubuhi pokea baraka za siku kwa kutamka kabisa "Asante Mungu kwa siku ya leo" nenda uienjoy na ikikukera unakasirika jioni ulilala ukiamka unaanza upya na siku mpya.

4: usiitegemeze furaha yako kwa watu au vitu. Vyote vitakudisappoint. Furaha yako ni yako tuu expect less from people.

5: Jichanganye na watu.. be yourself.. na usiogope.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tafuta kitabu kilichoandikwa 'THE POWER OF POSITIVE THINKING'
 
Pombe sinywi, sigara na bangi sivuti, mirungi wala unga siijui. Basi nakufata tutakuwa na ya kuongea
 
Kabisa
 
Maisha bana wewe acha tu
 
Ni vizuri ujue chanzo cha tatizo kwanza ndipo unaweza pata suluhisho
 
Anza kutoka outing na marafiki zako au ndugu. Cheza muziki, kunywa pombe ila usiwe mlevi. Inasaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…