Nawiwa kuongeza mke wa pili

Nawiwa kuongeza mke wa pili

Jambo nzuri mnoo,,Kuwiwaa Katika Jambo la Kheri,,na Kama Uwezo upo wa kutosha,,Usisite Kuwiwaa na kuwaongeza zaidi ni Kwa ajili yetu hao,,ipe Roho Kitu inapenda mnoo
 
Habarini Wana jamvi.. mimi ni mkristo na muhudhuriaji mzuri sana kanisani na hata jumuia... Lakini Kuna baadhi ya Mafundisho Nina mashaka nayo sana hasa haya ya ndoa.... Eti mkristo kuoa mke mmoja,,,, mbona kwenye Biblia hakuna maelekezo hayo? Ninacho kumbukusha ni kwamba mtume Paulo alishauri ASKOFU AWE MUME WA MKE MMOJA... hakutaja umma kwa ujumla wake...

Ni hayo tu... Naamini watu wenye fikra tunduizi watatoa maoni... Sitarajii kejeli na udini nataka mjadala wenye hoja za msingi ili kupata muafaka/ suluhisho la mgongano wa uelewa juu swala hili
Kwahiyo huyo ulienaye hakutoshi au unapenda tu kuwa unamiliki wanawake wengi...
 
Habarini Wana jamvi.. mimi ni mkristo na muhudhuriaji mzuri sana kanisani na hata jumuia... Lakini Kuna baadhi ya Mafundisho Nina mashaka nayo sana hasa haya ya ndoa.... Eti mkristo kuoa mke mmoja,,,, mbona kwenye Biblia hakuna maelekezo hayo? Ninacho kumbukusha ni kwamba mtume Paulo alishauri ASKOFU AWE MUME WA MKE MMOJA... hakutaja umma kwa ujumla wake...

Ni hayo tu... Naamini watu wenye fikra tunduizi watatoa maoni... Sitarajii kejeli na udini nataka mjadala wenye hoja za msingi ili kupata muafaka/ suluhisho la mgongano wa uelewa juu swala hili
Oa Comrade! Kwanza sisi ngozi nyeusi hatukuwa na huu utaratibu wa mke mmoja kabla ya kuja kwa Wazungu. Enzi hizo ili uheshimike kwenye jamii yako, lazima uwe na wanawake wa kutosha! Watoto wa kutosha, nk.
 
Habarini Wana jamvi.. mimi ni mkristo na muhudhuriaji mzuri sana kanisani na hata jumuia... Lakini Kuna baadhi ya Mafundisho Nina mashaka nayo sana hasa haya ya ndoa.... Eti mkristo kuoa mke mmoja,,,, mbona kwenye Biblia hakuna maelekezo hayo? Ninacho kumbukusha ni kwamba mtume Paulo alishauri ASKOFU AWE MUME WA MKE MMOJA... hakutaja umma kwa ujumla wake...

Ni hayo tu... Naamini watu wenye fikra tunduizi watatoa maoni... Sitarajii kejeli na udini nataka mjadala wenye hoja za msingi ili kupata muafaka/ suluhisho la mgongano wa uelewa juu swala hili

Ndoa ni scam tu iwe ya mke mmoja au wengi, hata wao walioandika hayo uliyoletewa ukaamini habari ya paulo (mzimu wa kizungu) na kupuuza mizimu ya babu zako (probably kwa kuwa hawaongee kikatoliki (English)) wanaacha hizo habari kwa sasa dunia inaenda mbali na habari zisizo na proof za kuaminiamini tu kwa kuwa kasema unayemuheshimu sasa hivi! We oa tu hamna kitakachochange zaidi ya kuondoa msongo wako na kuwa na peace of mind zaidi
 
Kwa uchumi nilionao hata mmoja ni tabu! Ila kama wewe ni mambo safi kipato kinagawanyika chukuwa hata kumi maana yako mengi sana mkuu!
 
Habarini Wana jamvi.. mimi ni mkristo na muhudhuriaji mzuri sana kanisani na hata jumuia... Lakini Kuna baadhi ya Mafundisho Nina mashaka nayo sana hasa haya ya ndoa.... Eti mkristo kuoa mke mmoja,,,, mbona kwenye Biblia hakuna maelekezo hayo? Ninacho kumbukusha ni kwamba mtume Paulo alishauri ASKOFU AWE MUME WA MKE MMOJA... hakutaja umma kwa ujumla wake...

Ni hayo tu... Naamini watu wenye fikra tunduizi watatoa maoni... Sitarajii kejeli na udini nataka mjadala wenye hoja za msingi ili kupata muafaka/ suluhisho la mgongano wa uelewa juu swala hili
Nitajie mkristo hata mmoja kwenye Biblia aliyekuwa na zaidi ya mke mmoja,usijechanganya waebrania,waisraeli wayahudi na wakristo
 
Familia bora na yenye muunganiko mzuri ni ya mke mmoja.

Oa mke mmoja utaenjoy familia.

Mke zaidi ya mmoja kwa aslimia kubwa ni tamaa ya ngono tu.
 
Sababu ya mchungaji kuwa na mke mmoja ni kulipunguzia kanisa gharama za matunzo,ebu fikiria awe na wake wengi waumini si mtapata tabu sana

Hata mzee wa upako alishawahi sema biblia haijakataza wake wengi isipokuwa kwa hao viongozi,nao ni kwasababu ya kupunguza gharama au mzigo kwa kanisa

Poleni sana
 
Mungu ndie ajuae maana hata kina ibrahim,yakobo walioa wake wengi na ndo ma~legend wa imani,why not us!
Yaani uesharati na zinaa imekemewa lkn mwanamme anatakiwa aoe mke mmoja ila kufanya uesharati na zinaa kama kawaida.
Hakuna mwanamme wa mke mmoja. Mke huyu anaekuwa hayupo tohara siku 7 za kila mwezi na siku 40 za kila akipata mtt!!!!? Ni ngumu
 
Habarini Wana jamvi.. mimi ni mkristo na muhudhuriaji mzuri sana kanisani na hata jumuia... Lakini Kuna baadhi ya Mafundisho Nina mashaka nayo sana hasa haya ya ndoa.... Eti mkristo kuoa mke mmoja,,,, mbona kwenye Biblia hakuna maelekezo hayo? Ninacho kumbukusha ni kwamba mtume Paulo alishauri ASKOFU AWE MUME WA MKE MMOJA... hakutaja umma kwa ujumla wake...

Ni hayo tu... Naamini watu wenye fikra tunduizi watatoa maoni... Sitarajii kejeli na udini nataka mjadala wenye hoja za msingi ili kupata muafaka/ suluhisho la mgongano wa uelewa juu swala hili
Waluposema " nendeni na mkaijaze dunia" amli ilitolewa kwa wanadamu wote. Sasa wewe kuongeza mke wa pili huoni kama unatumalizia sisi ambao hatujaoa

ushauri wangu
Kama pesa ipo na unauwezo wa kuhudumia familia wewe ongeza jiko acha kufuatilia dini inasema nini. Endelea kumuabudu Mungu sio dini
# WE LEFT CHURCH NOT GOD
 
Katika hili mzungu huwa ana consider zaidi matunda yatakayo tokana na hii "umewiwa" yako. Wewe mwenzetu ume consider nini? Hapa hii mnayoita ku provide naomba usiiweke 😒
 
Back
Top Bottom