Nawiwa kuongeza mke wa pili

Nawiwa kuongeza mke wa pili

Ndio hapo ujiulize sasa.. WHY NOT US?
shida uoga na dini zimetufanya kuwa na hofu kias hatuez fanya maamz independently!nionavyo mimi ni heri kuoa wake kadhaa kuliko kuwa na masuria kila halmashauri
 
Sio uislsamu tu hta uafrika/ubantu unaruhusu. Umamboleo unakataza wake wengi ila unaruhusu vimada wengi na ndio maana single mother wamejazana na watoto wao walio nyimwa haki ya baba.
Uislam umeweka wazi, wawili wawili, au watatu watatu au wanne wanne na mkishindwa kufanya uadilifu basi oeni mmoja tu.

Hakuna kitabu kingine chochote chenye "mmoja tu" isipokuwa Uislam peke yake.

Watu wenyewe mpaka mbustiwe huo uadilifu wa zaidi ya mmpja mtautowa wapi?
 
Back
Top Bottom