Nawiwa kuongeza mke wa pili

Mimi mwenye mke mmoja kwa mujibu wa dini yangu ya Kikatoliki ila nina mademu, videmu na mishangazi kibao na bado ni mzee wa kanisa na kukomunika pia. Heri niowe wake wengi tu kama nabii Suleimani. Wewe subiri wanazuoni waje kukupa ushauri.
 
Mke mmoja tu mziki wake unauona. Je! Kuwa na wawili si ndiyo patachimbika zaidi mkuu?

Labda uniambie uoe wake ambao wana elimu ya kawaida. Hawa wenye elimu ya juu itakuwa ni balaa katika maisha yako.

Afadhali uwe na masuria maarufu kama michepuko kuliko kufanya usajili mwingine wa kudumu.
 
Kipengere cha 4 hapo juu kigumu sana. Mke wangu Ana mamlaka juu ya mwili wake hivyo mademu, Videmu na Mashangazi huziba pengo lake na ndoa ya mke mmoja inaendelea.
 
Mimi ushauri wangu badala ya kuongeza mke ni bora kuongeza michepuko. Mke wa pili ukishamuoa atakuja nae atabweteka tu kama yule wa kwanza so utajikuta hamna ulichofanya na utatumia gharama nyingi kwake.

Uzuri wa michepuko ni kwamba mnakaa ki hip hop anytime mkizinguana kila mtu anapita hivi inakua imeisha hiyo.

NB: Mwanaume uliekamilika unatakiwa at any time t uwe na wanawake angalau watatu: Mke wa ndoa (1) na michepuko (2) at minimum. Kinyume na hapo presha itakuua tu huwez chomoka.
 
Uko sawa kabisa!! Maana hata King David alikuwa na wake wengi!! hata alipofanya makosa kwa kumuchukua mke wa Huria, Mungu alikuwa tayari kumuongezea mke mwingine
 
Maisha ya me...tangu anazaliwa ni risk adi anaingia kaburini,na kwa hakika hatuwezi epuka hii ila tunaweza kuicontrol/kuimanage
Maisha ya me...tangu anazaliwa ni risk adi anaingia kaburini,

sio wote mkuu
 
Yeah Ni kweli Sheria ya Ndoa na Hata Sheria za Urithi Zimebase sana kwenye Aidha Sheria za Kidini na Sheria za watu wengine..

Ukiona Nchi ambayo inajinasibu haiamini Dini yoyote, Inaandika Sheria inayofanana au inayohusianishwa na zile za kidini...Akili kichwani mwako
 
Hamia kwa Mzee wa upako utatoboa
 
Hapana, ni bora wakiwa wawili unaoishi nao kwa amani. Kuwa mkweli kama mke wake NEYO, ambaye kipindi cha ujauzito alimletea mume wake wanawake vigori wawili wa kumsaidia kazi za kitandani na nyumbani.., alipojifungua ndio wakaondoka..
 

Hii ya kukaa "ki hip hop" 😉
 
Naunga mono hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…