Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,455
Watu wanang'ata alafu wanapuliza ukishtuka kidonda kishaoza hakifai tena kupona...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Since day waliyomuita ikulu nilisema hapa "keep your friends close but your enemies closer"Watu wanang'ata alafu wanapuliza ukishtuka kidonda kishaoza hakifai tena kupona...
Ana nini cha kumtafutia, ni maskini tu!! Kama kagegeda demu wa mtu labda. Kiki za kukazumisha tu. Aseme alipokea hela za masharti muda umefika. Afe tu, mbona kanumba alikufa!!Anatafutwa na majambazi?
kwani wanaouawa wote ni tajiri?Ana nini cha kumtafutia, ni maskini tu!! Kama kagegeda demu wa mtu labda. Kiki za kukazumisha tu. Aseme alipokea hela za masharti muda umefika. Afe tu, mbona kanumba alikufa!!
Kweli mkuuSharti la mganga usivunje masharti,ni bora asingeitikia mualiko.
Kwan Ben kafa? Anskuka maisha nyie mwatapatapa mitandaoni.Hata Bensanane mlimwambia hivyohivyo.
Kwani wanaoua huwa wanataka nn?![emoji16][emoji16]Wakuuwe wewe una nini bwana, acha sifa za kijinga
Kumbe nini cha kumfanya atafutwe hata kuuawa? Hivi kanisa kashajenga? Nilisahau.kwani wanaouawa wote ni tajiri?
Ndo mana economy in grow regressionallyHeeee wanaacha kufany ya maana wanamtafut true boy