Nay wa Mitego adai anatafutwa kuuawa

Nay wa Mitego adai anatafutwa kuuawa

Ana nini cha kumtafutia, ni maskini tu!! Kama kagegeda demu wa mtu labda. Kiki za kukazumisha tu. Aseme alipokea hela za masharti muda umefika. Afe tu, mbona kanumba alikufa!!
kwani wanaouawa wote ni tajiri?
 
Hee kumekucha alikataa mzigo nini? Ya ben saanane yanajirudia
 
Anyway, hata asipokufa leo ipo siku atatakiwa kutoweka hapa duniani na hiyo inabaki ni kazi ya muumbaji tu. Yawezekana hata mie nikaondoka kesho na mwingine akafata, na yeye pia kifo kikija asitafute sababu.
 
Kwa hiyo wanataka wamupeleke katika Msitu wa Mabwepande Mr. Ney

Wamutoe meno na kung'oa kucha!
 
Mnataka mpaka are ndo muamin si kiki achen hzo inawezkana n kweli anasakwa yy si chz kuzungumz hvyo kikubw tusubir alaf pia tusome upepo where iz Ben saanane
 
Alifikiri alipoambiwa,nyimbo yako nzuri na mkulu na mpiga zumari wake(Mwakyembe) alidhani walikuwa wanamaanisha? tena kama walikupa kitu ukala au ukanywa jihesabu umekwishaaaaaa.
 
Ukisoma vizuri ukaelewa hii na ukaruhusu akili yako kufikiria beyond..utang'amua jambo.

WhatsApp Image 2017-03-20 at 19.35.50.jpeg
 
So walikutuma utengeneze wimbo ili baadae mje ni sinema ya kwamba wanataka kukuua.
 
Back
Top Bottom