Nyaganyi2014
Senior Member
- Dec 20, 2014
- 107
- 32
Dah! Eti unaamini 100%.Who knows? Labda na wewe ni mwenzie katika hilo.
Ila kama sio una shida sana kumuamini Ney ambaye yuko tayari kusema au kufanya lolote kwa ajili ya kupata kick mjini hapa.
Eb google illuminat af soma mwanzo-mwisho utaelewa na utaamin ila usiogope kwa habar utazosoma
hicho ni kichwa cha shetani..
hiyo sanamu ni yamtu kaweka pozi kuchora kichwa cha shetani chenye mapembe kama inavo aminika
Naomba kujulishwa tena kwa usahihi, mliopata ujuzi wa kujua kuwa shetani ni mwanamme afu ni mweusi mmepataje kujua.
Siongelei mambo ya free masson sina interestnayo.Tuanzie kwenye swala la kuconclude kuwa sanamu lile ni sanamu la shetani, why mnasupport kuwa kweli lile ni sanamu la shetani.
Hii thread ya ki mbwa lakini imepiga page 6! kinacho jadiliwa hapa hata sikioni! thread za maana hula page 1!
Kwasababu ni la shetani ndomana tunasema ni lashetani..kwan ni sanamu lako hilo.........shetani ni mwanaume kwasababu ni mwanaume kwani we unafikiri ni mwanamke.....
Mkuu hizo habari zipo lakini wewe una udhibitisho kuwa zina effect katika maisha halisi ya mtu? Kwasababu hii dhana ilianzishwa na kuelezewa zaidi na wazungu na wanaoiamini zaidi ni we Africans mpk mtu anaogopa kupata utajiri kisa ataambiwa ni wa kifreemasons
Na wengine wanajisifia kuwa ni wanachama na wanaona sifa kujulikana hivyo...hayo yote sijaona kwa white people.
Naomba kujulishwa tena kwa usahihi, mliopata ujuzi wa kujua kuwa shetani ni mwanamme afu ni mweusi mmepataje kujua.
Siongelei mambo ya free masson sina interestnayo.Tuanzie kwenye swala la kuconclude kuwa sanamu lile ni sanamu la shetani, why mnasupport kuwa kweli lile ni sanamu la shetani.
Mkuu umekosea sana mana wanaoamin sana kuhus illuminat na inasemekana kua jay z na beyonc wamekua addicted ndo maana mtt wao wakaamua kumuita blue evil na hlo jna ndo pass yao ya kuingilia kule wanakoabudia af usisahau kua mfanyakaz wa nick minaj aliingia chumban kwa nick ghafla akamkuta nick angan akiabudu
Blue evil??? Hahahaaaa
Umenichekesha si kidogo!
Mkuu hizo habari zipo lakini wewe una udhibitisho kuwa zina effect katika maisha halisi ya mtu? Kwasababu hii dhana ilianzishwa na kuelezewa zaidi na wazungu na wanaoiamini zaidi ni we Africans mpk mtu anaogopa kupata utajiri kisa ataambiwa ni wa kifreemasons
Na wengine wanajisifia kuwa ni wanachama na wanaona sifa kujulikana hivyo...hayo yote sijaona kwa white people.
promo za kipumbafu kabisa...ana sifa gani zakuingia freemason!!! freemason huna hata utajiri wa dollar milion moja!! hii inaitwa iga ufee..