Nay wa Mitego aeleza kwanini alinunua sanamu ya shetani kwa shilingi milioni 5

Huyu ni mtafuta kick tuu hana ufreemason wowote...kwa hela gani na mali gani alizo nazo?
 
Dah! Eti unaamini 100%.Who knows? Labda na wewe ni mwenzie katika hilo.
Ila kama sio una shida sana kumuamini Ney ambaye yuko tayari kusema au kufanya lolote kwa ajili ya kupata kick mjini hapa.

Inasikitisha kuona kuwa there some pple mpk ss hv they cant tell yupi ni mkweli na yupi ni cheap publicity seeker
 
Eb google illuminat af soma mwanzo-mwisho utaelewa na utaamin ila usiogope kwa habar utazosoma

Mkuu hizo habari zipo lakini wewe una udhibitisho kuwa zina effect katika maisha halisi ya mtu? Kwasababu hii dhana ilianzishwa na kuelezewa zaidi na wazungu na wanaoiamini zaidi ni we Africans mpk mtu anaogopa kupata utajiri kisa ataambiwa ni wa kifreemasons

Na wengine wanajisifia kuwa ni wanachama na wanaona sifa kujulikana hivyo...hayo yote sijaona kwa white people.
 
hiyo sanamu ni yamtu kaweka pozi kuchora kichwa cha shetani chenye mapembe kama inavo aminika

Hivyo ndivyo inavyoaminika na pia watu wanaamini kuwa shetani ni mweusi ila nijuavyo mimi Shetani alikuwa malaika mkuu wa nuru na sifa,na hakuwahi kunyanganywa mamlaka yoyote wala uwezo wa kujibadilisha atakavyo,kufanya miujiza n.k

Hivyo anaweza kuwa ni mrembo haswaa kuliko watu wanavyomuelewa,Pia anaweza kuwa Mtanashati atakavyo.Hiyo ya mapembe ni imaginations na mazoea tu.
 
Naomba kujulishwa tena kwa usahihi, mliopata ujuzi wa kujua kuwa shetani ni mwanamme afu ni mweusi mmepataje kujua.
Siongelei mambo ya free masson sina interestnayo.Tuanzie kwenye swala la kuconclude kuwa sanamu lile ni sanamu la shetani, why mnasupport kuwa kweli lile ni sanamu la shetani.

Kwasababu ni la shetani ndomana tunasema ni lashetani..kwan ni sanamu lako hilo.........shetani ni mwanaume kwasababu ni mwanaume kwani we unafikiri ni mwanamke.....
 
Mkuu hizo habari zipo lakini wewe una udhibitisho kuwa zina effect katika maisha halisi ya mtu? Kwasababu hii dhana ilianzishwa na kuelezewa zaidi na wazungu na wanaoiamini zaidi ni we Africans mpk mtu anaogopa kupata utajiri kisa ataambiwa ni wa kifreemasons

Na wengine wanajisifia kuwa ni wanachama na wanaona sifa kujulikana hivyo...hayo yote sijaona kwa white people.

Mkuu umekosea sana mana wanaoamin sana kuhus illuminat na inasemekana kua jay z na beyonc wamekua addicted ndo maana mtt wao wakaamua kumuita blue evil na hlo jna ndo pass yao ya kuingilia kule wanakoabudia af usisahau kua mfanyakaz wa nick minaj aliingia chumban kwa nick ghafla akamkuta nick angan akiabudu
 
Swali zuri sana
 
Blue evil??? Hahahaaaa
Umenichekesha si kidogo!
 
Mkuu hizo habari zipo lakini wewe una udhibitisho kuwa zina effect katika maisha halisi ya mtu? Kwasababu hii dhana ilianzishwa na kuelezewa zaidi na wazungu na wanaoiamini zaidi ni we Africans mpk mtu anaogopa kupata utajiri kisa ataambiwa ni wa kifreemasons

Na wengine wanajisifia kuwa ni wanachama na wanaona sifa kujulikana hivyo...hayo yote sijaona kwa white people.

wanazidi kufanikiwa...we huoni kipindi habar hizi zinaingia...zilikua zakuogopesha sana lkn taratibu znaanza kua kawaida kama huko nje...freemason ni kama kuchukua kadi ya uanachama ACT au CHADEMA au CCM....tutazoea tu kwani mipango ya mzungu ni miaka mingi mbele..
 
ilo jamaa kutwa kwa waganga makete, mbeya, sumbawanga, iringa ndo zake. kwa tunae mfahamu kitambo hatumshangai
 
Kwasababu ni la shetani ndomana tunasema ni lashetani..kwan ni sanamu lako hilo.........shetani ni mwanaume kwasababu ni mwanaume kwani we unafikiri ni mwanamke.....

Nafikiri ni mwanamke.
Mweupe pee, anavaa kimini na skonko.
Who knows shetani ni race gani?? Ana mapembe na mkia kama wa mbuzi au ng'ombe!!!:what::what:
 
Back
Top Bottom