mahershalalhashbaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 388
- 77
Mama yake mwenye hapokei pesa za ney ht xiku 1, mama yk amekiri mtt wak ni Freemason so kwa hilo si shangai ndiko utajir wake unapatikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shetani ni roho so anaweza kuwa presented ktk umbo lolote!!
Nani alikuambia YESU ni sanamu?
YESU yupo hai na kila mahali haitaji kikaragosi au kinyago chochote cha kumfananisha na yeye sababu yeye sio kinyago Wala kikaragosi yupo hai na anaishi hata sasa.
Kwani hamjui kuwa ney ni freemason....mnaumiza vichwa kwanin hata kwenye moja ya nyimbo zake kuna mstari unaosema kua yeye ni rafiki wa lusifer utamweleza nini.
Cjasema YESU ni sanam ila nmesema kua kwnn acweke sanam ya YESU nia yang ni kwamba aoneshe kua YESU yupo jana,leo na hata milele na co shetan anaemuabudu
Hapana mkuu sio anamtetea ila kuna wajinga flani wa hapa bongo wanaona sifa kujulijana eti ni member wa freemasons na watu wanawaamini na ndio maana bibie hapa anataka umdhibitishie kuwa jamaa ni member wa freemasons
Mimi mwenyewe mpaka sasahv sijawahi kudhibitisha nakuamini 100% propaganda za mafreemasons
Mkuu ht sii kuweka sana bas, amsifie muumba wk na si vikaragos stahli hiyo. Washetani huo.
Hahaha sijui hata walimuonea wapi,watu wanacreate imaginations then wanaconclude kuwa ni shetani
Aiseee! Kumbe unaamini propaganda za kijinga vile? Kile ni kitu ambacho yeyote anaweza kufanya.Mbona huku JF kuna watu wana avatar za ishara za Freemason unataka kusema nao ni Freemason kwa kigezo cha kutumia nembo zao?
Freemason my ass!!!
Kwa status gani aliyonayo na umasikini wote ule compared to the illuminats??
Mkuu hizo ni propaganda tu!hao wanaouza hizo CD nao wanatafuta kula mjini hapa!
Shetani ni mwanamme?
Alafu shetani ni mweusi? Kwanini unafikiri shetani ni mweusi? Alafua ameinama?
Freemason hawachukui vilaza kama Ney
Co hvo yn pale inasemekana kua unapewa utakacho kama ulivoomba na wao wana categolies mbalmbal yan kuna marais na wa2 maaruf wakifika kule wanakua wafanyakaz wadogo sana kama marehem kanumba aliomba nyota ya mvuto akapewa na akaambiwa asioe,alikubaliana nao ila kilchomponza ni ile filam ya devil kingdom baada ya kuitoa filam hiyo freemason walichukia sana wakidai kua ametoa siri zao hvo wakamwambia.....battery low ntaendelea kesho
Unaonesha kua we na shetan ni m2 na aunt yake mpk unajua rang ake halic,duh! metsha sn
E Mungu msamehe sana dada huyu kwa maana yaonesha kua hajui lolote kuhus maandko matakatf ila amekalili na kufata mkumbo,,haya sema Amen
dah! bora uwambie na ww mana wanafkir kua kuja kua mfuac wa shetan mpk uwe m2 flan hv amazing,m2 yyt na huko marekan m2 kukwambia ye mfuac wa freemason ni very simple yan anaona kama kakwambia kua ye ni mkristo au mwislam,dunia hii wa2 washajitoa sadaka yan anasema 2tajuana ck ya mwisho
Co hvo yn pale inasemekana kua unapewa utakacho kama ulivoomba na wao wana categolies mbalmbal yan kuna marais na wa2 maaruf wakifika kule wanakua wafanyakaz wadogo sana kama marehem kanumba aliomba nyota ya mvuto akapewa na akaambiwa asioe,alikubaliana nao ila kilchomponza ni ile filam ya devil kingdom baada ya kuitoa filam hiyo freemason walichukia sana wakidai kua ametoa siri zao hvo wakamwambia.....battery low ntaendelea kesho