Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 270
- 450
Mkuu hizo ni propaganda tu!hao wanaouza hizo CD nao wanatafuta kula mjini hapa!
Bt kuna ukwel ndan ake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hizo ni propaganda tu!hao wanaouza hizo CD nao wanatafuta kula mjini hapa!
AMINA!
The same goes for you.
Nani alikuambia YESU ni sanamu?
YESU yupo hai na kila mahali haitaji kikaragosi au kinyago chochote cha kumfananisha na yeye sababu yeye sio kinyago Wala kikaragosi yupo hai na anaishi hata sasa.
Hapana Freemasonry ipo usikatae sababu kuna maelfu ya vitabu duniani yanaongelea Freemasonry na hata Wikipedia ipo na inaeleza kwa kina juu ya hiki chama kama wewe sio mvivu wa kusoma download e-books na websites zinazoelezea Freemasonry utaelewa usipinge usilolifanyia uchunguzi.Mkuu hizo ni propaganda tu!hao wanaouza hizo CD nao wanatafuta kula mjini hapa!
Hapana Freemasonry ipo usikatae sababu kuna maelfu ya vitabu duniani yanaongelea Freemasonry na hata Wikipedia ipo na inaeleza kwa kina juu ya hiki chama kama wewe sio mvivu wa kusoma download e-books na websites zinazoelezea Freemasonry utaelewa usipinge usilolifanyia uchunguzi.
Hata kwenye jumba la makumbusho la Zanzibar kuna vitu vya Freemasonry na history yake East Africa katafute.
Na nyie mlivyo wapumbavu mkaamini kuwa hiyo ni sanamu ya shetani
Kumbe shetani ni mweusi! !!!
Na nyie mlivyo wapumbavu mkaamini kuwa hiyo ni sanamu ya shetani
Freemason hyo hakuna jngne kwnn acnnue sanam ya yesu au ya k2 chcht mpk annue ya shetan tena gharama kubwa hvo...jaman e mkubal au mkatae nay ni freemason kama unabisha jiulze kwnn anapendaga kusema nine double six yan 966 hyo 9 ukiigeuza chin unapata 6 so inakua 666 au angalia ule wmbo wa mr nay utapata majb
Me naamin kwa 100% na co yy 2 hapa tz wapo wasanii na viongoz wa din shaz ambao ni wafuac wa shetan
Aseme Mara ngapi mkuu... Kuna moja kati ya nyimbo zake ashasemaga ye ni mfuasi wa shetani,kama wimbo Huo unaitwa,Nasema nao.
Tufanye kumuwazia mema na kumuombea pengine ataacha kukipenda hicho kinyago cha shetani na kupenda vitabu na maandiko ya mungu.inawezekana!
Cjasema YESU ni sanam ila nmesema kua kwnn acweke sanam ya YESU nia yang ni kwamba aoneshe kua YESU yupo jana,leo na hata milele na co shetan anaemuabudu
Na nyie mlivyo wapumbavu mkaamini kuwa hiyo ni sanamu ya shetani
Mimi ndo nmeshangaa sana? Shetani ndo yuko vile kumbe? Mweusi tii afu kainama kama anayeanza kuhesabia kutaka kupaa.
Cheap minds dont reason.