Nay wa Mitego aeleza kwanini alinunua sanamu ya shetani kwa shilingi milioni 5

Nay wa Mitego aeleza kwanini alinunua sanamu ya shetani kwa shilingi milioni 5

Nay huwa anatamani.kwtli aonekane mgumu of which sio,mchele mchele tu mlamba lips kama shwain wengine!
Na huwa anatamani kweli watu waamini kuwa yeye ni freemason,ili?azidi kuwqjaza ujinga manzese kwao huko wanakoamini ushba wake!
 
Sanam ya Yesu?
Sasa sanamu la Yesu ni la nini? Sanam ni sanam tu.Tuache kumdhalilisha huyu Yesu jamani.

E Mungu msamehe sana dada huyu kwa maana yaonesha kua hajui lolote kuhus maandko matakatf ila amekalili na kufata mkumbo,,haya sema Amen
 
I hate this stupid person!! Who The hell is he anyway!!!??? He needs to fall off the face of thee earth!!!
 
kick za kipumbavu kwa mpumbavu...hamna cha freemason...aseme ana waganga wa kumsafishia nyota hao freemason kawajulia google
 
E Mungu msamehe sana dada huyu kwa maana yaonesha kua hajui lolote kuhus maandko matakatf ila amekalili na kufata mkumbo,,haya sema Amen

We mwandiko wako sijui unaandikaje! nahisi wew ndiyo shoga ney nakuona unavyo lazimisha watu waamini huo upumbavu wako!
 
Freemason hyo hakuna jngne kwnn acnnue sanam ya yesu au ya k2 chcht mpk annue ya shetan tena gharama kubwa hvo...jaman e mkubal au mkatae nay ni freemason kama unabisha jiulze kwnn anapendaga kusema nine double six yan 966 hyo 9 ukiigeuza chin unapata 6 so inakua 666 au angalia ule wmbo wa mr nay utapata majb
Nyie hivi Freemason tunawachukulia poa sana huyu Nay awe Freemason kwa kipi hasa
Huyu ni attention seeker tu usimuamini.
Bora umesema wewe
 
Hahahaaa,basi kuna wajinga wanaamini na kumuona wa maana na mjanja sana.

Teh Teh habari yako nifah...huyu na mwenzie Hussein machozi nilisha washitukia wana tafuta kick tuu
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh habari yako nifah...huyu na mwenzie Hussein machozi nilisha washitukia wana tafuta kick tuu

Hahahaaa,bora yeye Hussein Machozi ndio hadi nimeshamsahau kabisa!
 
Last edited by a moderator:
020.jpg
katika ubora wake
 
Shetani ni roho so anaweza kuwa presented ktk umbo lolote!!
 
Shetani ni roho so anaweza kuwa presented ktk umbo lolote!!

dah! bora uwambie na ww mana wanafkir kua kuja kua mfuac wa shetan mpk uwe m2 flan hv amazing,m2 yyt na huko marekan m2 kukwambia ye mfuac wa freemason ni very simple yan anaona kama kakwambia kua ye ni mkristo au mwislam,dunia hii wa2 washajitoa sadaka yan anasema 2tajuana ck ya mwisho
 
Kama ni mfuasi wa shetani sema tu hakuna shida, yaani unaposema unaipendatu kuliko vitu vyote ndani kwako ina maanisha kama wewe ni mkristo au msilam unaipenda hiyo sanamu zaidi ya maandiko matakatifu.
Jinga kabisa hili

Freemason hawachukui vilaza kama Ney
 
Mbna unamtetea sana ni binam ako nn

Hapana mkuu sio anamtetea ila kuna wajinga flani wa hapa bongo wanaona sifa kujulijana eti ni member wa freemasons na watu wanawaamini na ndio maana bibie hapa anataka umdhibitishie kuwa jamaa ni member wa freemasons

Mimi mwenyewe mpaka sasahv sijawahi kudhibitisha nakuamini 100% propaganda za mafreemasons
 
Back
Top Bottom