Peculiar
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 821
- 689
Kama ni mfuasi wa shetani sema tu hakuna shida, yaani unaposema unaipendatu kuliko vitu vyote ndani kwako ina maanisha kama wewe ni mkristo au msilam unaipenda hiyo sanamu zaidi ya maandiko matakatifu.
Jinga kabisa hili
Aseme Mara ngapi mkuu... Kuna moja kati ya nyimbo zake ashasemaga ye ni mfuasi wa shetani,kama wimbo Huo unaitwa,Nasema nao.
Tufanye kumuwazia mema na kumuombea pengine ataacha kukipenda hicho kinyago cha shetani na kupenda vitabu na maandiko ya mungu.inawezekana!