Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanam ya Yesu?
Sasa sanamu la Yesu ni la nini? Sanam ni sanam tu.Tuache kumdhalilisha huyu Yesu jamani.
E Mungu msamehe sana dada huyu kwa maana yaonesha kua hajui lolote kuhus maandko matakatf ila amekalili na kufata mkumbo,,haya sema Amen
Nyie hivi Freemason tunawachukulia poa sana huyu Nay awe Freemason kwa kipi hasaFreemason hyo hakuna jngne kwnn acnnue sanam ya yesu au ya k2 chcht mpk annue ya shetan tena gharama kubwa hvo...jaman e mkubal au mkatae nay ni freemason kama unabisha jiulze kwnn anapendaga kusema nine double six yan 966 hyo 9 ukiigeuza chin unapata 6 so inakua 666 au angalia ule wmbo wa mr nay utapata majb
Bora umesema weweHuyu ni attention seeker tu usimuamini.
Angalia signs alizotumia kwny nasema nao,angalia wmbo wte wa mr nay af tafta cd yyt inayoongelea wasanii na freemason utajua nnachomean
Hahahaaa,bora yeye Hussein Machozi ndio hadi nimeshamsahau kabisa!
Huyu jamaa anapenda kick za kijinga sana.
Me naamin kwa 100% na co yy 2 hapa tz wapo wasanii na viongoz wa din shaz ambao ni wafuac wa shetan
We mwandiko wako sijui unaandikaje! nahisi wew ndiyo shoga ney nakuona unavyo lazimisha watu waamini huo upumbavu wako!
Shetani ni roho so anaweza kuwa presented ktk umbo lolote!!
Kama ni mfuasi wa shetani sema tu hakuna shida, yaani unaposema unaipendatu kuliko vitu vyote ndani kwako ina maanisha kama wewe ni mkristo au msilam unaipenda hiyo sanamu zaidi ya maandiko matakatifu.
Jinga kabisa hili
Mbna unamtetea sana ni binam ako nn