Nay Wa Mitego amchana Gigy Money!

Nay Wa Mitego amchana Gigy Money!

tutamsikia kakamatwa China,maana ndio malimbukeni wanapoangukia kisa Masogange alikamatwa SA,basi wenyewe wana m beat kwa kukamatiwa China na poda
 
Kuna Siku nilimuona pale bamaga akiwa na vibinti f'lani hivi viwili pamoja na mwandishi wa GPL nusura nimfuate.. Tako analo kweli acheni kupotosha hapa... Mtoto ngozi yake ni nzuri na laini sana, ingawa sura yake ipo kama walivyo wasichana wengi wa mbeya

Kwan wasichana mbeya ndo sura zao zikoje??,,,acha dharau mtoto wa kiume
 
Watu weusi bhana, na roho zetu nyeusi, mmemsema binti na hamchoki? Mbona yupo vizuri tu...acheni roho mbaya jamani.
 

Attachments

  • image.png
    image.png
    153.3 KB · Views: 529
  • image.png
    image.png
    137.5 KB · Views: 394
  • image.png
    image.png
    344.6 KB · Views: 465
  • image.png
    image.png
    212.7 KB · Views: 407
  • image.png
    image.png
    178.4 KB · Views: 408
Zigo lipo bana ila tatizo ni unamlinganisha na nani ,Ukimweka hapo na Masogange ama Cherokee basi ndio tutasema hana zigo ,
'cherokee da A.sS' teh teh teh mjomba ben inaonekana uko vizuri sana kwenye hizi mambo....
 
Si anaitwa Zawadi.......akabadili jina akaitwa Gift......Giggy ndio ikatokea hapo......
Ukiwa na tak.o kubwa namna hii hata kuchamba inakua shida,waruka ukuta watanielewa mapema.....
 
she has the perfect face for radio..... joke
 
preta saidia tena hizo attachments maana zimegoma wallahi

Ngoja nimuite HARUFU aje azipambanue.......maana hata mimi niliyeziweka niliziona mwanzo.......Ila sasa sizioni tena.......na nilimwambia Invisible lakini akasahau.......swala la picha kuonekana ni gumu kwa kweli.......
 
Ngoja nimuite HARUFU aje azipambanue.......maana hata mimi niliyeziweka niliziona mwanzo.......Ila sasa sizioni tena.......na nilimwambia Invisible lakini akasahau.......swala la picha kuonekana ni gumu kwa kweli.......
nikajua ndio mambo ya itel....hizi simu zetu wengine processor ndogo mpk kasheshe
 
Back
Top Bottom