Nay wa Mitego anahaha kutafuta beef na WCB lakini wamempotezea

Nay wa Mitego anahaha kutafuta beef na WCB lakini wamempotezea

Kwani ney kaanza kiki leo aiseee. Nyie mashabiki maandazi mnapenda sana kutaka wasafi waabudiwe na kila mtu.

Dudubaya mwenyewe kiki kwa clouds kila siku sijaona mkimlalamikia. Ku nya anye kuku aki nya bata kaharisha pyeeeee
Ila na wewe una chuki zako binafsi dhidi ya wasafi.

Nakushauri unywe maji kwa wingi na kukaa mahali penye hewa ya kutosha.

Povu ruksa.
 
Ni kawaida ya wabongo kukupenda kinafiki ukiwa mediocre,na ndo urafiki wa huyu jamaa na diamond ulipoanzia,alijua diamond hatopaa kumzidi,sasa akampenda akawa rafiki kinafiki,heh,kuja kushangaa mwenzie anapiga hatua tu,hapo ndio rafiki anageuka kuwa hater,cuz ametambua mwenzie ni level zingine na huenda si mtanzania na ht km ni mtanzania bs amewahi sana kuzaliwa kizazi hiki.
Hiyo kitu inaitwa Idols become Rivals
 
Napenda quote zenu wanywa maji ya beteri za domo
Ila na wewe una chuki zako binafsi dhidi ya wasafi.

Nakushauri unywe maji kwa wingi na kukaa mahali penye hewa ya kutosha.

Povu ruksa.
 
Mambo yenu watu wa dar hayo hata sijaelewa kitu
 
Having too much praise and flattery around you is not always a good thing. Success and fortune can sometimes cloud your mind and forget where you came from. Similar to the first point, if all you hear are good things about yourself, you might let it get to your head. Having people that don’t like you reminds you that you’re not the center of the universe and that you still have a ways to go.
Skumbuki mara yangu ya mwsho ku panic ilikuwa lini.

Anyway hatred is not good for your health.
 
Having too much praise and flattery around you is not always a good thing. Success and fortune can sometimes cloud your mind and forget where you came from. Similar to the first point, if all you hear are good things about yourself, you might let it get to your head. Having people that don’t like you reminds you that you’re not the center of the universe and that you still have a ways to go.
There is a fine line that separates hatred from opinion.
 
Kama Mjanja sana aseme neno Soda.... Utasikia Thodaaa
 
AJALI, TARIME: Magari mawili aina ya Toyota Hiace yaliyokuwa na abiria yakifanya safari zake kati ya Musoma na Tarime yamegongana kisha kuwaka moto katika eneo la Gachuma - Haijafahamika bado idadi ya majeruhi wala vifo katika ajili hiyo pia chanzo cha magari hayo kugongana.
Uyo numbisa nilichafu tu lipolipo namauchafu yake
 
Back
Top Bottom