Nay wa Mitego anahaha kutafuta beef na WCB lakini wamempotezea

Nay wa Mitego anahaha kutafuta beef na WCB lakini wamempotezea

AJALI, TARIME: Magari mawili aina ya Toyota Hiace yaliyokuwa na abiria yakifanya safari zake kati ya Musoma na Tarime yamegongana kisha kuwaka moto katika eneo la Gachuma - Haijafahamika bado idadi ya majeruhi wala vifo katika ajili hiyo pia chanzo cha magari hayo kugongana.
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah dah hatari sana
 
In life everything is fun when it happen to someone else.. Mimi ni fan wa Mond na WCB lakini kitendo alichokifanya Mond si cha kiungwana na Ney true boy hio post ya pili kaongea fact wakati mwingine ni vizuri kuweka ushabiki pembeni.
 
Vijana tuna matatizo makubwa sana " .. tatizo letu huwa tunaweka mahaba mbele hata katika vitu sensitive ".. Mbona sijaona mahali ambapo nay ameonyesha ubaya zaidi ya kutoa ushauri mzuri tu kwa vijana wenzie
Dharau kwenye post ya kwanza nazo hujaona? Au ni jambo jema kwako?
 
Kuna watu mna mahaba ya kupitiliza, wapi kuna tusi post ya kwanza kahamasisha watu kujitikeza kwa wingi matamasha yote, ya 2 ni ushauri pia ya 3 shida iko wapi?
Kuna watu macho hamnaga? Hyo post ya kwanza huoni dharau kwa wasanii wenzake hapo? Au ww ndio una mahaba kwa ney,hata baya atalosema yani we huskii huoni...
 
Alianza hivi
View attachment 945894Akaja hiviView attachment 945897Na sasa kaja hiviView attachment 945900
Hapa ndipo ninapoanza kumtoa akili huyu jamaa wenzako wamekukaushia wewe unaforce ili mgombane upate kiki,nashauri WCB waendelee kula bati na mambo yao waachane na huyu bwana anataka kuharibu concentration yenu ya Wasafi Festival,ila ninavyowajua hawa jamaa hawana vifua sijui leo kama itapita bila kurudisha dongo.yetu macho na masikio.
Diamond naye kaanza👇👇👇View attachment 945935
True boya
 
Kuna watu mna mahaba ya kupitiliza, wapi kuna tusi post ya kwanza kahamasisha watu kujitikeza kwa wingi matamasha yote, ya 2 ni ushauri pia ya 3 shida iko wapi?
Sio lazma kila kitu uelewe Ila bora kipofu wa macho kuliko kuwa kipofu wa upeo
Dada neey sijui neeena anakosea tu
 
Kuna watu macho hamnaga? Hyo post ya kwanza huoni dharau kwa wasanii wenzake hapo? Au ww ndio una mahaba kwa ney,hata baya atalosema yani we huskii huoni...
Achana nao mapimbi hao,wanajifanya hamnazo
 
Waki tukana wao sawa ila tuki anza mashambulizi mna kimbilia huruma ya wananchi''

Bwana mmoja alianza kwa kusema nyinyi ni wapumbavu
Akajibiwa akanunue sabuni ya kuondoa upele mwilini
Kilicho fata baada ya hapo ni Simanzi
Teh teh teh teh

hahahahaha....we jamaa fala sana
 
Back
Top Bottom