Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unless damu yako ni group B...kuwaambia wenzako wanawaza kwa kutumia mata.ko is that fair? bahat mbaya hiyo post kaifutaKuna watu mna mahaba ya kupitiliza, wapi kuna tusi post ya kwanza kahamasisha watu kujitikeza kwa wingi matamasha yote, ya 2 ni ushauri pia ya 3 shida iko wapi?
kwa hiyo unataka tujadili kitu tusichokiona?unless damu yako ni group B...kuwaambia wenzako wanawaza kwa kutumia mata.ko is that fair? bahat mbaya hiyo post kaifuta
Huyu kiazi ni fala na nusu!kwani ni lazima kuwe ugomvi??kama anataka Kiki si ajisingizie tu kaliwa konki basi?(kama Dully miaka flan ya zamaani)tena fala sana
Nay na Niki ni mbingu na Ardhi viwango vyaoHuyo jamaa anamuogopa sana niki mbishi
hapa tunajadili yaliyo hapa, tuoneshe iyo post aliyosema wanafikiri kwa kutumia matako tutajadili pia.unless damu yako ni group B...kuwaambia wenzako wanawaza kwa kutumia mata.ko is that fair? bahat mbaya hiyo post kaifuta
mpakanjia alikuwa mafioso achaHuyu kiazi ni fala na nusu!kwani ni lazima kuwe ugomvi??kama anataka Kiki si ajisingizie tu kaliwa konki basi?(kama Dully miaka flan ya zamaani)
Sentensi ya mwisho pigia mstari mkuuNeema tangu kitambo sana anajaribugi kumzngua diamond.......lkn mond anapangua na wanaendelea kuwa washkaji.
Na ni marafiki wakubwa sana hao jamaa,,,,, kwa hyo tuwaache tu, wanajuana
Hahahaha. Huwa hawaoni upande mwingine wa sarafu hawaKwani ney kaanza kiki leo aiseee. Nyie mashabiki maandazi mnapenda sana kutaka wasafi waabudiwe na kila mtu.
Dudubaya mwenyewe kiki kwa clouds kila siku sijaona mkimlalamikia. Ku nya anye kuku aki nya bata kaharisha pyeeeee
Kwanini anamuogopa?Huyo jamaa anamuogopa sana niki mbishi
Watu wana mapenzi sanaKwani ney kaanza kiki leo aiseee. Nyie mashabiki maandazi mnapenda sana kutaka wasafi waabudiwe na kila mtu.
Dudubaya mwenyewe kiki kwa clouds kila siku sijaona mkimlalamikia. Ku nya anye kuku aki nya bata kaharisha pyeeeee
Hilo kawaida maana ata wehenga walishasema "mapenzi ni upofu"Huu u team wenu unawafanya muwe vipofu walah