Nay wa Mitego anahaha kutafuta beef na WCB lakini wamempotezea

Nay wa Mitego anahaha kutafuta beef na WCB lakini wamempotezea

Duh!!!ney naye hata hajui kuandika maskin....hajui wapi aweke 'l' na wapi aweke 'r'
Wasanii uchwara kweli hawa.
 
Kuna watu mna mahaba ya kupitiliza, wapi kuna tusi post ya kwanza kahamasisha watu kujitikeza kwa wingi matamasha yote, ya 2 ni ushauri pia ya 3 shida iko wapi?
 
Kuna watu mna mahaba ya kupitiliza, wapi kuna tusi post ya kwanza kahamasisha watu kujitikeza kwa wingi matamasha yote, ya 2 ni ushauri pia ya 3 shida iko wapi?
unless damu yako ni group B...kuwaambia wenzako wanawaza kwa kutumia mata.ko is that fair? bahat mbaya hiyo post kaifuta
 
unless damu yako ni group B...kuwaambia wenzako wanawaza kwa kutumia mata.ko is that fair? bahat mbaya hiyo post kaifuta
kwa hiyo unataka tujadili kitu tusichokiona?
na mbona umeumia sana wewe kuliko walioambiwa au dongo ni lako??

#Achakutujazia server.
 
Mbona katoa ushauri mzuri tu.sema wabongo cc vichwa vyetu tunavijua wenyewe .yaan amesema kabisa watu wajae nangwanda lkn hamjaona hilo
 
Mbona kama kashauri
Sana sana kuhusu mtoto akiweza jitegemea
 
Ni kawaida ya wabongo kukupenda kinafiki ukiwa mediocre,na ndo urafiki wa huyu jamaa na diamond ulipoanzia,alijua diamond hatopaa kumzidi,sasa akampenda akawa rafiki kinafiki,heh,kuja kushangaa mwenzie anapiga hatua tu,hapo ndio rafiki anageuka kuwa hater,cuz ametambua mwenzie ni level zingine na huenda si mtanzania na ht km ni mtanzania bs amewahi sana kuzaliwa kizazi hiki.
 
unless damu yako ni group B...kuwaambia wenzako wanawaza kwa kutumia mata.ko is that fair? bahat mbaya hiyo post kaifuta
hapa tunajadili yaliyo hapa, tuoneshe iyo post aliyosema wanafikiri kwa kutumia matako tutajadili pia.

kujificha kwenye kichaka cha ameifuta haikufanyi kuwa na group O. hapa tunajadili post zilizo letwa iyo yako ya kufikirika jadili mwenyewe
 
Waki tukana wao sawa ila tuki anza mashambulizi mna kimbilia huruma ya wananchi''

Bwana mmoja alianza kwa kusema nyinyi ni wapumbavu
Akajibiwa akanunue sabuni ya kuondoa upele mwilini
Kilicho fata baada ya hapo ni Simanzi
Teh teh teh teh
 
Kwani ney kaanza kiki leo aiseee. Nyie mashabiki maandazi mnapenda sana kutaka wasafi waabudiwe na kila mtu.

Dudubaya mwenyewe kiki kwa clouds kila siku sijaona mkimlalamikia. Ku nya anye kuku aki nya bata kaharisha pyeeeee
Hahahaha. Huwa hawaoni upande mwingine wa sarafu hawa
 
Mbona nyimbo zake zinapigwa , nimeiona moja hakuna maisha magumu, wakati natoka kupata lunch.
 
Naona vijana wanaendeshwa na mihemko yao sababu nimesoma hayo maandikobyake sijaona lolote baya au amemtukana mtu, ila mihemko ndio inafanya vijana kufanya tafasili pinda.
 
Kwani ney kaanza kiki leo aiseee. Nyie mashabiki maandazi mnapenda sana kutaka wasafi waabudiwe na kila mtu.

Dudubaya mwenyewe kiki kwa clouds kila siku sijaona mkimlalamikia. Ku nya anye kuku aki nya bata kaharisha pyeeeee
Watu wana mapenzi sana
 
Back
Top Bottom