ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Si ndiyo anatega Sasa![emoji3][emoji3][emoji3]wewe ulitakaje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unatoa mk***u?[emoji23][emoji23][emoji23]
Tayari nshajibu vipi nimuite konki atule 3some?
unatoa mk***u?
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah dah hatari sanaAJALI, TARIME: Magari mawili aina ya Toyota Hiace yaliyokuwa na abiria yakifanya safari zake kati ya Musoma na Tarime yamegongana kisha kuwaka moto katika eneo la Gachuma - Haijafahamika bado idadi ya majeruhi wala vifo katika ajili hiyo pia chanzo cha magari hayo kugongana.
kweli kabisaMie natoa K wewe utatoa Mk,bwana konk atafaidi sana unaonaje tukimuongeza na ney hapo bonge la kolabo
Post ya kwanza imejaa dharau kwa wasanii wenzie..hilo nalo huon? Au kwako dharau ni jambo jema ?Mbona sijaona bandiko lolote baya au ubongo wangu umeshindwa kung'amua makosa yaliyo katika wall posts zake
Dharau kwenye post ya kwanza nazo hujaona? Au ni jambo jema kwako?Vijana tuna matatizo makubwa sana " .. tatizo letu huwa tunaweka mahaba mbele hata katika vitu sensitive ".. Mbona sijaona mahali ambapo nay ameonyesha ubaya zaidi ya kutoa ushauri mzuri tu kwa vijana wenzie
Kuna watu macho hamnaga? Hyo post ya kwanza huoni dharau kwa wasanii wenzake hapo? Au ww ndio una mahaba kwa ney,hata baya atalosema yani we huskii huoni...Kuna watu mna mahaba ya kupitiliza, wapi kuna tusi post ya kwanza kahamasisha watu kujitikeza kwa wingi matamasha yote, ya 2 ni ushauri pia ya 3 shida iko wapi?
True boyaAlianza hivi
View attachment 945894Akaja hiviView attachment 945897Na sasa kaja hiviView attachment 945900
Hapa ndipo ninapoanza kumtoa akili huyu jamaa wenzako wamekukaushia wewe unaforce ili mgombane upate kiki,nashauri WCB waendelee kula bati na mambo yao waachane na huyu bwana anataka kuharibu concentration yenu ya Wasafi Festival,ila ninavyowajua hawa jamaa hawana vifua sijui leo kama itapita bila kurudisha dongo.yetu macho na masikio.
Diamond naye kaanza👇👇👇View attachment 945935
Sio lazma kila kitu uelewe Ila bora kipofu wa macho kuliko kuwa kipofu wa upeoKuna watu mna mahaba ya kupitiliza, wapi kuna tusi post ya kwanza kahamasisha watu kujitikeza kwa wingi matamasha yote, ya 2 ni ushauri pia ya 3 shida iko wapi?
Achana nao mapimbi hao,wanajifanya hamnazoKuna watu macho hamnaga? Hyo post ya kwanza huoni dharau kwa wasanii wenzake hapo? Au ww ndio una mahaba kwa ney,hata baya atalosema yani we huskii huoni...
Waki tukana wao sawa ila tuki anza mashambulizi mna kimbilia huruma ya wananchi''
Bwana mmoja alianza kwa kusema nyinyi ni wapumbavu
Akajibiwa akanunue sabuni ya kuondoa upele mwilini
Kilicho fata baada ya hapo ni Simanzi
Teh teh teh teh