Watu wana mapenzi sana
Hahahaha. Huwa hawaoni upande mwingine wa sarafu hawa
Ila na wewe una chuki zako binafsi dhidi ya wasafi.Kwani ney kaanza kiki leo aiseee. Nyie mashabiki maandazi mnapenda sana kutaka wasafi waabudiwe na kila mtu.
Dudubaya mwenyewe kiki kwa clouds kila siku sijaona mkimlalamikia. Ku nya anye kuku aki nya bata kaharisha pyeeeee
Hiyo kitu inaitwa Idols become RivalsNi kawaida ya wabongo kukupenda kinafiki ukiwa mediocre,na ndo urafiki wa huyu jamaa na diamond ulipoanzia,alijua diamond hatopaa kumzidi,sasa akampenda akawa rafiki kinafiki,heh,kuja kushangaa mwenzie anapiga hatua tu,hapo ndio rafiki anageuka kuwa hater,cuz ametambua mwenzie ni level zingine na huenda si mtanzania na ht km ni mtanzania bs amewahi sana kuzaliwa kizazi hiki.
Ila na wewe una chuki zako binafsi dhidi ya wasafi.
Nakushauri unywe maji kwa wingi na kukaa mahali penye hewa ya kutosha.
Povu ruksa.
Punguza chuki dada yangu. Utapata magonjwa ya ajabu ajabuNapenda quote zenu wanywa maji ya beteri za domo
Punguza chuki dada yangu. Utapata magonjwa ya ajabu ajabu
Skumbuki mara yangu ya mwsho ku panic ilikuwa lini.Oooh am ur sister now!!Dont panic u know ts dangerous for ur marvelous life.
Skumbuki mara yangu ya mwsho ku panic ilikuwa lini.
Anyway hatred is not good for your health.
There is a fine line that separates hatred from opinion.Having too much praise and flattery around you is not always a good thing. Success and fortune can sometimes cloud your mind and forget where you came from. Similar to the first point, if all you hear are good things about yourself, you might let it get to your head. Having people that don’t like you reminds you that you’re not the center of the universe and that you still have a ways to go.
akikujibu niiteThere is a fine line that separates hatred from opinion.
Tayari nshajibu vipi nimuite konki atule 3some?There is a fine line that separates hatred from opinion.
akikujibu niite
Numbisa hivi hawa jamaa wakuitwa WCB walikufanya nini naona kama wanakukera sana.[emoji23][emoji23][emoji23]
Tayari nshajibu vipi nimuite konki atule 3some?
Numbisa hivi hawa jamaa wakuitwa WCB walikufanya nini naona kama wanakukera sana.
Hahahahahaha..[emoji23][emoji23][emoji23]
Tayari nshajibu vipi nimuite konki atule 3some?
Wamfanye niniNumbisa hivi hawa jamaa wakuitwa WCB walikufanya nini naona kama wanakukera sana.
Una mbavu za kupigana ?. Ney anarusha makonde sio ya kitotoKama Mjanja sana aseme neno Soda.... Utasikia Thodaaa
Wamfanye nini
sema wivu wa mafanikio haujawahi kutuacha ngozi nyeusi salama.
Uyo numbisa nilichafu tu lipolipo namauchafu yake