Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Watoto wa kike huwa tunajuana kwa swaga zetu, bila shaka na wewe ni wa kike.
Kwa iyo wanawake wana akili ndogo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wa kike huwa tunajuana kwa swaga zetu, bila shaka na wewe ni wa kike.
Ndio unaongea nini sasa?
Ujinga ujinga tu.
Una tatizo!? Hujala?
Duniani kuna kitu kinaitwa Mungu! Huyu tunaambiwa ndie muumba wa mbingu na ardhi! Tunaambiwa kwamba, kama si yeye Mungu, basi nisingekuwa na uwezo wa kuandika haya hapa JF! Kila kitokeacho ni kwa rehema zake Mungu! Tusingekuwa na bahari wala milima... tusingekuwa na hiki wala kile kama si Mungu! Itoshe tu kusema kwamba, ni yeye Mungu ndie aliamua chige niwe mwanadamu badala ya nyani!
Pamoja na sifa zote hizo kedekede bado duniani kuna mamilioni na mamilioni ya watu (Wanadamu?!) ambao hawaamini uwepo wa huyo Mungu haidhuru hata kama hawatakuwa na uwezo kueleza wao asilii yao nini! Hawa watu wapo na wataendelea kuwapo hadi pale utakapotokea mwisho wa dunia according to people believing in God!
Likatokea kundi kubwa sana la watu... watu bilioni na mamilioni kadhaa! Hawa ni miongoni mwa wale wanaoamini uwepo wa Mungu! Hawa wakatuambia kwamba, ukitaka uishi kutokana na mapenzi ya Mungu basi unatakiwa kumfuata Yesu Kristo vinginevyo wengine wote utakaowafuata ni mashetani na wewe utakuwa ni mtu wa motoni endapo utamfuata shetani! Hawa watu wapo na wataendelea kuwapo hadi mwisho wa dunia kama wanavyoamini uwepo wa hiyo siku!
Wakaja wengine... nao ni si haba... ni bilioni na ushee! Hawa wakawaambia hao wa juu kwamba ni watu waliopotea... wasiojua watendalo na kwa hakika ni watu wa motoni na watabaki humo milele vinginevyo umfuate Muhammad!! Wakatokea hawa na wale wa kumfuata huyu na yule lakini wote hawa wanahitimisha jambo moja tu! THERE'S NO WAY WATU WOTE WANAWEZA KUUNGA MKONO KITU KIMOJA, WANAWEZA KUWA NA ITIKADI INAYOFANANA.... No way!! Pamoja na watu kutishiwa kwamba watachomwa moto wa milele wasipoamini uwepo wa Mungu lakini bado wapo mamilioni kwa mamilioni wasiotishika na mkwara huona watakuambia wazi wazi kwamba uwepo wa Mungu ni hadithi tu sawa na hadithi za Bulicheka or just a top most conspiracy theory!! Pamoja na wengine kuambiwa unatakiwa kumfuata Yesu kwa maana huyo mnayemfuata ni shetani, lakini bado millions of people totaling 1 billion plus wanaendelea kumfuata huyo anayeitwa shetani!! Pamoja na kwamba wengine kuambiwa nyie mnaomfuata Yesu mmepotoka na ni watu wa motoni lakini Yesu Kristo nae kila siku anaendelea kupata wafuasi!
Huyo ndo mwanadamu/mtu alivyo? Ajabu, leo hii kuna watu wao ndo wanajiona wana akili sana kuliko wengine kwa sababu tu anaunga mkono chama fulani na wengine wote hawana akili!! Kama kutofautiana ni kutokuwa na akili basi at least 2 billion people duniani hawana akili... hawa wanaweza kuwa ama Wakristo wote pamoja na Wahindu, au Waislamu wote pamoja na Wahindu, au Waislamu wote pamoja na Wakristo!!! Lakini kubwa kuliko yote ni kwamba will never ever one community be homogeneous! Kwahiyo mtu yeyote asiyeweza kuvumilia itikadi tofauti tofauti basi ajiandae kuumia maisha yake yote kwa nyakati tofauti tofauti!
Makubwaa...kwa hiyo unathibitishaje ye hajafuata ulaji? Hizi double standard zitatumaliza watz
Unafkiri kumtambua mdananda kazi ??
Do I owe you any explanation Sir?Get to the point. Acha Injili. Mungu yupo we all kno that.
Do I owe you any explanation Sir?