Nay wa mitego kafunguka

Nay wa mitego kafunguka

Kwa iyo wanawake wana akili ndogo??

Hivi data humjui akili zake? Bora yule chizi alokuwa anatokwa mapovu juzi kati.
Huyu ndio wale niliosema itabidi wakapimwe akili zao mirembe, jitu linaishabikia CCM unategemea nini?
 
Last edited by a moderator:
Duniani kuna kitu kinaitwa Mungu! Huyu tunaambiwa ndie muumba wa mbingu na ardhi! Tunaambiwa kwamba, kama si yeye Mungu, basi nisingekuwa na uwezo wa kuandika haya hapa JF! Kila kitokeacho ni kwa rehema zake Mungu! Tusingekuwa na bahari wala milima... tusingekuwa na hiki wala kile kama si Mungu! Itoshe tu kusema kwamba, ni yeye Mungu ndie aliamua chige niwe mwanadamu badala ya nyani!

Pamoja na sifa zote hizo kedekede bado duniani kuna mamilioni na mamilioni ya watu (Wanadamu?!) ambao hawaamini uwepo wa huyo Mungu haidhuru hata kama hawatakuwa na uwezo kueleza wao asilii yao nini! Hawa watu wapo na wataendelea kuwapo hadi pale utakapotokea mwisho wa dunia according to people believing in God!

Likatokea kundi kubwa sana la watu... watu bilioni na mamilioni kadhaa! Hawa ni miongoni mwa wale wanaoamini uwepo wa Mungu! Hawa wakatuambia kwamba, ukitaka uishi kutokana na mapenzi ya Mungu basi unatakiwa kumfuata Yesu Kristo vinginevyo wengine wote utakaowafuata ni mashetani na wewe utakuwa ni mtu wa motoni endapo utamfuata shetani! Hawa watu wapo na wataendelea kuwapo hadi mwisho wa dunia kama wanavyoamini uwepo wa hiyo siku!

Wakaja wengine... nao ni si haba... ni bilioni na ushee! Hawa wakawaambia hao wa juu kwamba ni watu waliopotea... wasiojua watendalo na kwa hakika ni watu wa motoni na watabaki humo milele vinginevyo umfuate Muhammad!! Wakatokea hawa na wale wa kumfuata huyu na yule lakini wote hawa wanahitimisha jambo moja tu! THERE'S NO WAY WATU WOTE WANAWEZA KUUNGA MKONO KITU KIMOJA, WANAWEZA KUWA NA ITIKADI INAYOFANANA.... No way!! Pamoja na watu kutishiwa kwamba watachomwa moto wa milele wasipoamini uwepo wa Mungu lakini bado wapo mamilioni kwa mamilioni wasiotishika na mkwara huona watakuambia wazi wazi kwamba uwepo wa Mungu ni hadithi tu sawa na hadithi za Bulicheka or just a top most conspiracy theory!! Pamoja na wengine kuambiwa unatakiwa kumfuata Yesu kwa maana huyo mnayemfuata ni shetani, lakini bado millions of people totaling 1 billion plus wanaendelea kumfuata huyo anayeitwa shetani!! Pamoja na kwamba wengine kuambiwa nyie mnaomfuata Yesu mmepotoka na ni watu wa motoni lakini Yesu Kristo nae kila siku anaendelea kupata wafuasi!

Huyo ndo mwanadamu/mtu alivyo? Ajabu, leo hii kuna watu wao ndo wanajiona wana akili sana kuliko wengine kwa sababu tu anaunga mkono chama fulani na wengine wote hawana akili!! Kama kutofautiana ni kutokuwa na akili basi at least 2 billion people duniani hawana akili... hawa wanaweza kuwa ama Wakristo wote pamoja na Wahindu, au Waislamu wote pamoja na Wahindu, au Waislamu wote pamoja na Wakristo!!! Lakini kubwa kuliko yote ni kwamba will never ever one community be homogeneous! Kwahiyo mtu yeyote asiyeweza kuvumilia itikadi tofauti tofauti basi ajiandae kuumia maisha yake yote kwa nyakati tofauti tofauti!
 
Akifanya huyu sawa,,wengine wakisapoti CCM mbaya!!

Ulofa Na upumbavu ndo huu sasa
 
Pamoja sana wamitego...tengeneza ngoma kabisa ya jmoc..wajue kabisa kama cc tumeamua...
 
Hivi data humjui akili zake? Bora yule chizi alokuwa anatokwa mapovu juzi kati.
Huyu ndio wale niliosema itabidi wakapimwe akili zao mirembe, jitu linaishabikia CCM unategemea nini?

Wewe binti ! Chunga adabu.
 
Last edited by a moderator:
Nimempenda hii ni mara ya pilli anaongea point mara ya kwanza aliwachana wasanii wanaogombea
 
Duniani kuna kitu kinaitwa Mungu! Huyu tunaambiwa ndie muumba wa mbingu na ardhi! Tunaambiwa kwamba, kama si yeye Mungu, basi nisingekuwa na uwezo wa kuandika haya hapa JF! Kila kitokeacho ni kwa rehema zake Mungu! Tusingekuwa na bahari wala milima... tusingekuwa na hiki wala kile kama si Mungu! Itoshe tu kusema kwamba, ni yeye Mungu ndie aliamua chige niwe mwanadamu badala ya nyani!

Pamoja na sifa zote hizo kedekede bado duniani kuna mamilioni na mamilioni ya watu (Wanadamu?!) ambao hawaamini uwepo wa huyo Mungu haidhuru hata kama hawatakuwa na uwezo kueleza wao asilii yao nini! Hawa watu wapo na wataendelea kuwapo hadi pale utakapotokea mwisho wa dunia according to people believing in God!

Likatokea kundi kubwa sana la watu... watu bilioni na mamilioni kadhaa! Hawa ni miongoni mwa wale wanaoamini uwepo wa Mungu! Hawa wakatuambia kwamba, ukitaka uishi kutokana na mapenzi ya Mungu basi unatakiwa kumfuata Yesu Kristo vinginevyo wengine wote utakaowafuata ni mashetani na wewe utakuwa ni mtu wa motoni endapo utamfuata shetani! Hawa watu wapo na wataendelea kuwapo hadi mwisho wa dunia kama wanavyoamini uwepo wa hiyo siku!

Wakaja wengine... nao ni si haba... ni bilioni na ushee! Hawa wakawaambia hao wa juu kwamba ni watu waliopotea... wasiojua watendalo na kwa hakika ni watu wa motoni na watabaki humo milele vinginevyo umfuate Muhammad!! Wakatokea hawa na wale wa kumfuata huyu na yule lakini wote hawa wanahitimisha jambo moja tu! THERE'S NO WAY WATU WOTE WANAWEZA KUUNGA MKONO KITU KIMOJA, WANAWEZA KUWA NA ITIKADI INAYOFANANA.... No way!! Pamoja na watu kutishiwa kwamba watachomwa moto wa milele wasipoamini uwepo wa Mungu lakini bado wapo mamilioni kwa mamilioni wasiotishika na mkwara huona watakuambia wazi wazi kwamba uwepo wa Mungu ni hadithi tu sawa na hadithi za Bulicheka or just a top most conspiracy theory!! Pamoja na wengine kuambiwa unatakiwa kumfuata Yesu kwa maana huyo mnayemfuata ni shetani, lakini bado millions of people totaling 1 billion plus wanaendelea kumfuata huyo anayeitwa shetani!! Pamoja na kwamba wengine kuambiwa nyie mnaomfuata Yesu mmepotoka na ni watu wa motoni lakini Yesu Kristo nae kila siku anaendelea kupata wafuasi!

Huyo ndo mwanadamu/mtu alivyo? Ajabu, leo hii kuna watu wao ndo wanajiona wana akili sana kuliko wengine kwa sababu tu anaunga mkono chama fulani na wengine wote hawana akili!! Kama kutofautiana ni kutokuwa na akili basi at least 2 billion people duniani hawana akili... hawa wanaweza kuwa ama Wakristo wote pamoja na Wahindu, au Waislamu wote pamoja na Wahindu, au Waislamu wote pamoja na Wakristo!!! Lakini kubwa kuliko yote ni kwamba will never ever one community be homogeneous! Kwahiyo mtu yeyote asiyeweza kuvumilia itikadi tofauti tofauti basi ajiandae kuumia maisha yake yote kwa nyakati tofauti tofauti!

Get to the point. Acha Injili. Mungu yupo we all kno that.
 
Nashukuru kuona wanamageuzi tupo wengi kiasi hiki,lakini simchukii aliyetofauti na mawazo yangu na tena nafurahishwa na msanii yeyote anayejua kazi yake kutafuta pesa na kujiandaa na kesho yake bila ya kuwaangalia wapumbavu na malofa fulani eti hawatafurahishwa na wewe, ndio sisi tunaowasifia kwa kutofuata pesa, lakini ndio sisi tunaosema wanakaa kwa mama wanashindwa kulipia hata kodi kwa kufukuzwa na mijimama. Hongereni wasanii wote kwa kujitambua iwe unachofanya ni kwa ajili ya pesa au ni mapenzi yako yote kwangu ni sawa tu huo ni moyo wako ndivyo ulivyokutuma na wewe ni binadamu una maisha yako nje ya usanii.
 
Back
Top Bottom