Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Sakata la kutekwa kwa Roma limezidi kupamba moto baada ya Nay kushitukia Rafiki yao aliwachezea sinema.
Kwenye ukurasa wake ameandika haya.
naytrueboy1. Unatuchezea Sinema mpaka wana.?! F***k.! Njaa zitatuua.
#Wapo☝️
- naytrueboy2. Una Sign mkataba wa kucheza Sinema yenye Quality Mbovu, Tena inayo Rekodiwa kwa Camera ya Simu.?! Unategemea nini.? Nakuvua vyeo ata Kama Mkataba ni Mnono, Itaku Cost tu na utayumbisha Career yako.!
Mwana Katoa Bokoo.!
Huyu kaenda nje ya topic, ila hapa yeye alimaanisha ROMA
Kwani daimondi ananjaaa kama yako umebugi sistaduNadhani kamrefaaa diamond platnums, sio Roma
Roma sio lomadomo sio loma
HahaaaKama umeshindwa kuelewa hesabu idadi ya maneno hiyo ni movie ya Roma na Ruge iliyobuma hahahaha
There ur hapa anaongelewa domo watu wanafikiri ni roma!Nadhani kamrefaaa diamond platnums, sio Roma
ili swali muulize Roma aliyesema kuwa yeye na Ruge walikuwa wana hangaika toka asubuhi lakikni ukumbuke Roma alikuwa ametekwa na simu yake ilikuwa haipokelewi....hahahahKwa hiyo wakamshirikisha na Bashite kuwa atapatikana kabla ya Jumapili!
Kama umeshindwa kuelewa hesabu idadi ya maneno hiyo ni movie ya Roma na Ruge iliyobuma hahahaha
Bavicha wanamuwaza bashite na domoili swali muulize Roma aliyesema kuwa yeye na Ruge walikuwa wana hangaika toka asubuhi lakikni ukumbuke Roma alikuwa ametekwa na simu yake ilikuwa haipokelewi....hahahah
Aiseee!! Napenda unavyofikiri, mie ni mmoja wa wale waliohisi dongo ni la Roma ila kwa kusoma post yako, nimejikuta natafakari na kukubaliana na wewe; Inawezekana kabisa ujumbe huu ni kwa swahiba (mpya) wa GwajimaNadhani kamrefaaa diamond platnums, sio Roma
IQ yako itakuwa 20-0Nadhani kamrefaaa diamond platnums, sio Roma