Nay wamitego arusha jiwe gizani auliza Unatuchezea sinema hadi wana?

Nay wamitego arusha jiwe gizani auliza Unatuchezea sinema hadi wana?

Sakata la kutekwa kwa Roma limezidi kupamba moto baada ya Nay kushitukia Rafiki yao aliwachezea sinema.
Kwenye ukurasa wake ameandika haya.
naytrueboy1. Unatuchezea Sinema mpaka wana.?! F***k.! Njaa zitatuua.
#Wapo☝️
  • naytrueboy2. Una Sign mkataba wa kucheza Sinema yenye Quality Mbovu, Tena inayo Rekodiwa kwa Camera ya Simu.?! Unategemea nini.? Nakuvua vyeo ata Kama Mkataba ni Mnono, Itaku Cost tu na utayumbisha Career yako.!
    Mwana Katoa Bokoo.!
IMG-20170410-WA0035.jpg
IMG-20170410-WA0035.jpg
 
Tatizo kubwa la jf ni uchama na udini, kila mtu anaandika kutokana na masilahi ya chama chake. Kijiwe kinaishiwa thamani[emoji51]
 
Kwa akili yenu mnafikiri anaongelewa roma#hebu jipngezeni mbona lipo wazi
 
Kwa hiyo wakamshirikisha na Bashite kuwa atapatikana kabla ya Jumapili!
ili swali muulize Roma aliyesema kuwa yeye na Ruge walikuwa wana hangaika toka asubuhi lakikni ukumbuke Roma alikuwa ametekwa na simu yake ilikuwa haipokelewi....hahahah
 
Mondi ushaanza kuumbuka dili zingine haramu haya hayaaa bashite anakuponza
 
Nadhani kamrefaaa diamond platnums, sio Roma
Aiseee!! Napenda unavyofikiri, mie ni mmoja wa wale waliohisi dongo ni la Roma ila kwa kusoma post yako, nimejikuta natafakari na kukubaliana na wewe; Inawezekana kabisa ujumbe huu ni kwa swahiba (mpya) wa Gwajima
 
Dai,ank mako na roma,bila kupepesa macho mwny njaa n roma apa ndo maana nay akasema njaa hiz ztatuua...
Vlevle,roma ndo mwana sana wa nay kulko ao wengne..hta ivo sinve day uno,hii ilionekana n movie isiyo na director mzoef
 
Back
Top Bottom