Nay wamitego arusha jiwe gizani auliza Unatuchezea sinema hadi wana?

Nay wamitego arusha jiwe gizani auliza Unatuchezea sinema hadi wana?

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Sakata la kutekwa kwa Roma limezidi kupamba moto baada ya Nay kushitukia Rafiki yao aliwachezea sinema. Kwenye ukurasa wake ameandika haya.
naytrueboy1. Unatuchezea Sinema mpaka wana.?! F***k.! Njaa zitatuua.
#Wapo☝️
  • naytrueboy
  • Una Sign mkataba wa kucheza Sinema yenye Quality Mbovu, Tena inayo Rekodiwa kwa Camera ya Simu.?! Unategemea nini.? Nakuvua vyeo ata Kama Mkataba ni Mnono, Itaku Cost tu na utayumbisha Career yako.!Mwana Katoa Bokoo.!
 
Ohhhhh hell no this shit pissed me the fu.ck off!!! I ever see these lames they disrespectful ass
getting beat, rip big homie
 
Back
Top Bottom