Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

Mkuu pole sana ila nakuambia ukisema la moyoni hata uuambie mti tu unapata ahueni, zile kejeli zetu humu chukulia kama just a jokes za mtoto kukojolea nepi zizarau nawe ucheke utaongeza amani moyoni. Ila kiukweli we sema utapata ahueni. HAKUNA LISILOSEMWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Da!!
Watu wanapitia Matatizo aisee!!
Mwenyezi mungu Amrehemu
 
Mkuu usiujaze moyo kwa vitu vizito. Chagua watu wawili ama watatu, wafate PM, waelezee Masaibu yako! Usikiweke mpweke ndani ya Box
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni kwamba unakuwa hujui nani wa kumuamini hasa kwa sisi ambao hatujuani. Unaweza kumfata mtu ukadhani atakusaidia kumbe umempa cha kwenda kusimulia mbele ya safari
Mkuu usiujaze moyo kwa vitu vizito. Chagua watu wawili ama watatu, wafate PM, waelezee Masaibu yako! Usikiweke mpweke ndani ya Box

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwache akasimulie mbele ya safari lkn utakuwa ushashusha mzigo na kupata relief. Pia wenye akili watamuona ana shida kichwani ya sirini kuyapeleka hadharani!
Shida ni kwamba unakuwa hujui nani wa kumuamini hasa kwa sisi ambao hatujuani. Unaweza kumfata mtu ukadhani atakusaidia kumbe umempa cha kwenda kusimulia mbele ya safari

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa Poa nimeona, tuwasiliane hakishindikani kitu kama ana discipline tunaweza kumshika mkono
 
Poa Poa nimeona, tuwasiliane hakishindikani kitu kama ana discipline tunaweza kumshika mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…