Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

I appreciate your concern Mkuu. Be blessed.

The bad thing about my story ni kuwa "naumizwa sana na mambo ambayo ni mwiko kusema."

Kuna moments huwa nasikia uchungu mpaka kifua kinawaka moto, saa nyingine mpaka nalia, na kujifariji mwenyewe. Highly probable this is my Fate..!

I won't kill myself though.
Mkuu pole sana ila nakuambia ukisema la moyoni hata uuambie mti tu unapata ahueni, zile kejeli zetu humu chukulia kama just a jokes za mtoto kukojolea nepi zizarau nawe ucheke utaongeza amani moyoni. Ila kiukweli we sema utapata ahueni. HAKUNA LISILOSEMWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Da!!
Watu wanapitia Matatizo aisee!!
Mwenyezi mungu Amrehemu
 
Mkuu usiujaze moyo kwa vitu vizito. Chagua watu wawili ama watatu, wafate PM, waelezee Masaibu yako! Usikiweke mpweke ndani ya Box
I appreciate your concern Mkuu. Be blessed.

The bad thing about my story ni kuwa "naumizwa sana na mambo ambayo ni mwiko kusema."

Kuna moments huwa nasikia uchungu mpaka kifua kinawaka moto, saa nyingine mpaka nalia, na kujifariji mwenyewe. Highly probable this is my Fate..!

I won't kill myself though.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni kwamba unakuwa hujui nani wa kumuamini hasa kwa sisi ambao hatujuani. Unaweza kumfata mtu ukadhani atakusaidia kumbe umempa cha kwenda kusimulia mbele ya safari
Mkuu usiujaze moyo kwa vitu vizito. Chagua watu wawili ama watatu, wafate PM, waelezee Masaibu yako! Usikiweke mpweke ndani ya Box

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwache akasimulie mbele ya safari lkn utakuwa ushashusha mzigo na kupata relief. Pia wenye akili watamuona ana shida kichwani ya sirini kuyapeleka hadharani!
Shida ni kwamba unakuwa hujui nani wa kumuamini hasa kwa sisi ambao hatujuani. Unaweza kumfata mtu ukadhani atakusaidia kumbe umempa cha kwenda kusimulia mbele ya safari

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UNSPECIFIED nakuomba na ninajua una huu uwezo..kuna dogo namkubali sana...anajituma sana ila hajapata kazi ...msaidie..mm ameomba nimsaidie ila ss hv n hz mvua mambo yanaenda mradi... Na mm nna watu watatu nyuma yangu sijaona wa kumtoa coz nao wanahitaj msaada wangu..naomba niwe mdhamini wake mimi...umsaidie kazi tena ikiwezekana km ya yule chalii ulomrudisha...!poptoe pale anafit...ukikubali nauli ntatoa mimi!yuko dar nw!
Poa Poa nimeona, tuwasiliane hakishindikani kitu kama ana discipline tunaweza kumshika mkono
 
Back
Top Bottom