May your soul RIP, nmeumia kusoma historia yako mkuu dah! Ndo kwanza naona thread zako dah!
Nna tatizo la kusikia pia, nashkuru Mungu sana tena sana najicontrol na kujipenda hivi nilivyo. Shuleni niliteseka pia lkn ilifika kipindi ikabidi nizoee majina yote niliyoitwa na wenzangu na Mara nyingi mtu akinitunga Jina anakua rafiki yangu automatic tu, because nikiitwa Binti kiziwi sinuni sijitengi instead hua natabasam ama kucheka tu.
Chuo ndo niltabika nilwahi kukaa week nzima chumban bila kwenda darasan nilziba full nikawa nasikia mvumo masikioni. Sikuweza kuwasiliana, kuvuka barabara naogopa niljifungia tu.
My dear, nmehuzunika ulikata tamaa!!!!!! Kiuhasilia maisha hayapo sawa hata kwa wale wanaojiona ni wazima. Mwenyezi Mungu awape faraja na nguvu familia yako🙏🏾